hatari sana mkuu, kwahiyo hapa ni mfumo mbovu wa hizi a/c au ni nini hasaHakuna mikweche barabara ya Dar-Arusha.
Unakuta mtu mwingine kwenye gari private tena tinted na ni usiku, kafunga vioo vyote anakula AC yaani ajari nje nje.Upo sawa.
Binafsi pia sipendelei AC hata nikiwa kwenye gari binafsi. Huwa tunabishana na mama watoto tukitumia gari moja, ni mpenzi wa kufunga vioo AC iwe on wakati mimi napenda upepo.
Au hata ukute Wachina safari za kilometa zaidi ya 800 kwa bus lazima walale njiani siku moja au mbili, kama mtu ana haraka anapanda treni au ndege.Inawezekana kwenye hili la AIR CONDITIONING wakawa waliteleza kimakadirio kama walivyokusudia......pengine wali design kwa ajili ya umbali wa safari za km 500 kushuka chini ku sustain hiyo hali lakini badala yake zinapigwa non stop all the way 800km.......
Nadhani bado wanayo nafasi ya kujirekebisha kwani hili suala linagusa afya za watu moja kwa moja
AC haijawa designed kwa umbali mrefu, tena nadhani kuna coution kabisa kuwa kwa umbali mrefu zima ufungue vioo kuruhusu hewa mpya iingie.
Inawezekana kwenye hili la AIR CONDITIONING wakawa waliteleza kimakadirio kama walivyokusudia......pengine wali design kwa ajili ya umbali wa safari za km 500 kushuka chini ku sustain hiyo hali lakini badala yake zinapigwa non stop all the way 800km.......
Nadhani bado wanayo nafasi ya kujirekebisha kwani hili suala linagusa afya za watu moja kwa moja
Inashangaza sana. Yaani hajui kuwa AC inatoa hewa nje na kuingiza fresh air kutoka nje. BTW kuna options mbili, ya kuzungusha hewa ya ndani au kuingiza hewa ya nje kwemye system ya upoozaji.Kwa hiyo kwenye mabus hewa chafu hua haitolewi nje?,
Haitoki. AC haina uwezo huo. Huwa tunavuta ile ile. Unless basi liwe equiped na ECS.Kwa hiyo kwenye mabus hewa chafu hua haitolewi nje?,
Hapana mkuu. AC haitoi hewa nje. Inazungusha hewa ile ile bana. Embu tugoogle kujiridhisha.Inashangaza sana. Yaani hajui kuwa AC inatoa hewa nje na kuingiza fresh air kutoka nje. BTW kuna options mbili, ya kuzungusha hewa ya ndani au kuingiza hewa ya nje kwemye system ya upoozaji.
Halafu kafunguliza mziki mkubwa na kalewa.Unakuta mtu mwingine kwenye gari private tena tinted na ni usiku, kafunga vioo vyote anakula AC yaani ajari nje nje.
Mkuu kwenye ndege kuna mfumo huo kwasababu over 10,000ft hakuna oxygen na ndege iko pressurized. Gari iko ardhini kuna oxygen ya kutosha.Ndege zina mfumo maalum wa kuchakata hewa na kuingiza oxygen ndani ya ndege na pia kutoa hewa chafu ndani ya ndege, unaitwa Environmental Control System(ECS)
Oh lord. Tafuta AC inavyofanyq kazi some tena.Hapana mkuu. AC haitoi hewa nje. Inazungusha hewa ile ile bana. Embu tugoogle kujiridhisha.
Mi mwenyewe huwa sina tatizo la kujiskia vibaya nikisafiri ila mara ya mwisho nilipanda bus safari fupi tu ya Babati-Arusha ila hali ilinishinda nikafunga vent nikawa mara kwa mara nafungua kioo na kufunga ndo nikatoboa, wahudumu wa gari hawataki abiria wafungue viooShubamiit. Mara kadhaa nimepanda hizi Yutong unakuta ni mpya tu ila nateseka kweli, najiuliza mbona huwa sina tatizo nikiwa nasafiri imekuaje? Sasa umenipa jibu.
Hii umetoa wapi boss? Maana ninavyojua AC ni hatari hata kwa mapafu achilia mbali mambo mengine so huwa zina tahadhari.
Kwani ni bus za Kichina tu zenye AC?Hivi wewe ni lazima utetee kila kitu cha Wachina??
Hilo basi la wapi linalosafiri kwa saa nane mkiwa mmejifungia ndani! Mabasi yote huwa yanasimama kila baada ya muda mfupi kwa ajili ya abiria kupanda, kushuka, kula na kujisaidia, hakuna basi litatoka Dar mpaka Dodoma bila kutimiza niliyoyataja, wewe ni mmoja wa wale wasio safiri kwa kukosa ndugu au shughuri mikoani.Katika maendeleo ya usafiri ambayo sijaona umuhimu wake ni bus zenye vyoo ndani na AC, nikipinda hizi bus hasa safari za mchana huwa nahisi hewa nzito sana ndani ya gari. Sijui kama kisayansi ni sahihi au inashauriwa kusafiri watu 50 masaa nane ndani ya Bus ambalo mmesongamana mkiwa mmefunga vioo eti mnategemea AC. Mimi huwa naona bora kufungua tu vioo kupata hewa natural ila tatizo makonda huwa wanalazimisha kufunga vioo vyote.
Inawezekana sababu nyingine ya watu kuchoka sana kwenye hizi safari za bus kama walikuwa wanalima mashamba ni pamoja na mzunguko mbaya wa hewa kwenye hizi bus.
Anye wapi hela kupanda ndege mabasi tu lawama kibaoSasa ukipanda ndege itakuaje boss?