Jamani mpaka Hilo gari linatengenezwa hafkiri kwamba hicho hakuwa considered? Na ac za gari Zina ventilators ambazo zinavuta na kutoa hewa ndani ya gari. Hakuna tofauti kubwa ya hewa na hewa ya dirishani. Hii Dunia imesonga sana kiasi kuvumbua kitu kipya inabidi utafakari sana, SI kiraisiKatika maendeleo ya usafiri ambayo sijaona umuhimu wake ni bus zenye vyoo ndani na AC, nikipinda hizi bus hasa safari za mchana huwa nahisi hewa nzito sana ndani ya gari. Sijui kama kisayansi ni sahihi au inashauriwa kusafiri watu 50 masaa nane ndani ya Bus ambalo mmesongamana mkiwa mmefunga vioo eti mnategemea AC. Mimi huwa naona bora kufungua tu vioo kupata hewa natural ila tatizo makonda huwa wanalazimisha kufunga vioo vyote.
Inawezekana sababu nyingine ya watu kuchoka sana kwenye hizi safari za bus kama walikuwa wanalima mashamba ni pamoja na mzunguko mbaya wa hewa kwenye hizi bus.
Zinanuliwa na Zimbabwe pia ila Zambia wana luxury bus ambazo Tanzania hakuna na zina muda mrefu kidogo alieagiza sana hizo ni shalom bus ila Jordan na Likili wapo na Volvo na Scania hata za masafa marefu ni hizo Volvo engine..Higer na brands nyingine za Kichina kama Zhong zinanunuliwa zaidi Zambia
Zinanuliwa na Zimbabwe pia ila Zambia wana luxury bus ambazo Tanzania hakuna na zina muda mrefu kidogo alieagiza sana hizo ni shalom bus ila Jordan na Likili wapo na Volvo na Scania hata za masafa marefu ni hizo Volvo engine..
Hapa mnapiga porojo, mtu aseme kitaalam kabisa kwa nini AC za kwenye magari hasa mabasi hazikidhi viwango kwama kweli. Binafsi naona poa na hewa huwa maridadi.Basi niseme mfumo madhubuti wa ECS
Sio ushamba, Wanasababu zao kwanini wakiwasha AC hawataki ufungue madirisha.Umeongea vema sana, sema ushamba wa ma-kondakta na ma-dereva hawawezi kuelewa hili hata siku moja.
Utaenda nako kila mahali?Jitahidi ununue kausafiri kako hata IST
Kampuni za usafirishaji Zambia wanatumia Scania na Volvo kwa route za kwenda South Africa. Mabasi ya kichina wanaweka route za ndani ya nchi,route za Congo,Malawi na Zimbabwe.
Sasa tunazungumzia kununuliwa sana kwa bus au tunazungumzia quality?Yutong na BYD zinanunuliwa zaidi sana hapo Ulaya kuliko Irizar
Higer ndio basi pendwa zaidi Zambia
Ndo ushamba tunaozungumzia huo,, kufunga madirisha na Milango maana yake hawataki hewa ya nje iingie ndani. ( AC itumike kwenye sehemu ya ukosefu wa hewa), kwa Tanzania hiyo hatua hatujafika.Sio ushamba, Wanasababu zao kwanini wakiwasha AC hawataki ufungue madirisha.
Umeelewa kilichoandikwa? Mabasi yanayonunuliwa zaidi Zambia ni Chinese busesKampuni za usafirishaji Zambia wanatumia Scania na Volvo kwa route za kwenda South Africa. Mabasi ya kichina wanaweka route za ndani ya nchi,route za Congo,Malawi na Zimbabwe.
Kampuni zenye fleet ya basi za kichina ikiwa na route ya South africa lazima aweke basi sawa na washindani wenzake kama Irizar.
Yutong ndio basi linaloongoza duniani kwa kununuliwa.Sasa tunazungumzia kununuliwa sana kwa bus au tunazungumzia quality?
Na BYD inaingiaje kwenye combustion engines za mabasi.
Hata Bajaj ndio pikipiki zinazoongoza kununuliwa kwa sana duniani, ila kwenye ubora hazichungulii kabisa.
China wanayo mabasi ya kisasa na quality, sio hizi Yutong mass produced kwa watu maskini kama sisi na Zambia.
NdiyoUmewahi kupanda ndege?