Boutafrica
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 1,334
- 2,938
Hamna kitu nachukia ktk bus kma hzo Ac...ila wale wenetu ukijaribu kuizima tu wanapiga kelele gari zima,Sasa unajiuliza hv Hawa wanaooiga kelele Ac iwashwe majumbani mwao wanazo?
Ni sahihiNdio. Kwani AC ni nini? Kama jina lake lilivyo Ac Inacondition air iliyopo, haitengenezi air yake so kama kuna changamoto kwenye mfumo wa air, ac inaweza kuwa on ila kukawa na tatizo. Au nakosea?
Upo sahihi. Ila pia hata idadi nyakati nyingine tunaenda nje ya matakwa ya manufacturers. Unakuta gari ni watu kadhaa ila sisi tumefanya mod na kuongeza idadi ya viti, sasa mfumo ukicheza kidogo hewa inakuwa haitoshi.Kitaalamu hapo changamoto ni kwenye mfumo wa basi wa kuingiza oxygen ila sio kwamba idadi ya abiria imezidi uwezo wa AC
Manufacturers wa mabasi hawakurupuki kuweka AC ambazo hazitaendana na idadi ya abiria
Tatizo la wakurugenzi wengi wanaomiliki mabasi ni kutofanyia service mfumo wa AC
Lakini pia kuna wakati madereva wengine huwa wanazima makusudi
Una uhakika gani anakuwa amesahau ku switch on na sio kwamba haipo kabisa au hajawasha kwa makusudi kwa sababu zake binafsi au kubana matumizi ya bus?Mfumo wa automotive AC upo namna mbili.
1) External circulation-Hii inatoa hewa nje, inachuja uchafu, inapooza halafu inasambaza ndani kupitia zile grills.
2) Internal circulation- hii inazungusha hewa ambayo ipo ndani tayari. Yaani hewa hiyohiyo inapitishwa kwenye evaporator then inasambazwa na mzunguko unaendelea. Hii imewekwa ili kutumika pale bus/gari linapopita gas station au sehem yenye hewa chafu/ moshi kuzuia harufu ya nje isiingie ndani.
So unachoongelea wewe ni hii ya pili ambapo driver anakua amejisahau kuswitch to external circulation.
Wachina pia wanatumia zaidi treni kwa safari ndefu kwa hiyo inawezekana hizi bus ni sawa kwao labda kama mtu anaenda nazo safari ndefu ni ya utalii zaidi au kutazama miji kwa hiyo wanakuwa na vituo vingi sana vya kulala na kupumzika njiani, wanafungua madirisha mara nyingi kupiga piga picha n.k.Upo sahihi. Ila pia hata idadi nyakati nyingine tunaenda nje ya matakwa ya manufacturers. Unakuta gari ni watu kadhaa ila sisi tumefanya mod na kuongeza idadi ya viti, sasa mfumo ukicheza kidogo hewa inakuwa haitoshi.
Sisi huku tunasafiri nazo km 800 barabara nyingine vipande ni vumbi.Wachina pia wanatumia zaidi treni kwa safari ndefu kwa hiyo inawezekana hizi bus ni sawa kwao labda kama mtu anaenda nazo safari ndefu ni ya utalii zaidi au kutazama miji kwa hiyo wanakuwa na vituo vingi sana vya kulala na kupumzika njiani.
Majibu yao hao makonda ndo huwa tafanya watu wakae kimya kutunza heshima zao.Ukiwaambia makondakta watakujibu watu wenye akili kubwa hawapandi mabasi.
So ukiwa kwenye office mnayo share zaidi ya mtu mmoja AC huwa unazima au unavumilia.Upo sawa.
Binafsi pia sipendelei AC hata nikiwa kwenye gari binafsi. Huwa tunabishana na mama watoto tukitumia gari moja, ni mpenzi wa kufunga vioo AC iwe on wakati mimi napenda upepo.
Hahaha, na akikujibu hivi hata kama upo na mkeo na wanao na wanakuogopa wataenda kuchekea chooni.Majibu yao hao makonda ndo huwa tafanya watu wakae kimya kutunza heshima zao.
Hahaha, Ofisi ninayofanya kazi rimoti nashika mimi wengine ndo watavumilia kulingana na matakwa yangu.So ukiwa kwenye office mnayo share zaidi ya mtu mmoja AC huwa unazima au unavumilia.
Ukifingua dirisha si unawapunguzia AC wengine?Kufunga mfumo unaoweza kuongeza oxygen nauli sio itakuwa ghali sana? Waruhusu tu mtu akizidiwa afungue dirisha.
Yes, nadhani unavuruga mfumo.Ukifingua dirisha si unawapunguzia AC wengine?
Hahahaa! kwahiyo ni bora ukae kimya tu,kutunza heshima yako,baadhi ya makondakta wana midomo Michael sana,hawana cha kupoteza.Hahaha, na akikujibu hivi hata kama upo na mkeo na wanao na wanakuogopa wataenda kuchekea chooni.
Sasa AC ya kazini ina tofauti gani na kwenye gari na kwenye bus na kwenye ndege.Hahaha, Ofisi ninayofanya kazi rimoti nashika mimi wengine ndo watavumilia kulingana na matakwa yangu.
Anyway, utani tu ila AC masaa yote ofisini, halafu kwenye gari sidhani kama ni salama kiafya. Wataalam watasema.
Mimi huwa sina shida na AC ninachohitaji ni kupata hewa safi tu ya kutosha, tatizo ni mtu atakapotaka kulazimisha kutumia AC tu na hakuna hewa ya kutosha.Sasa AC ya kazini ina tofauti gani na kwenye gari na kwenye bus na kwenye ndege.
AC masaa yote kumbe mshika remote umeweka 29, yaani hapo ni kama umezima tu, ila ili usionekane mkuda umewasha kizushi.
Kaa kimya na mambo yako maana hata abiria wenzako wanakusaliti nao wanaangua kicheko kweli kwa jibu utakalopewa.Hahahaa! kwahiyo ni bora ukae kimya tu,kutunza heshima yako,baadhi ya makondakta wana midomo Michael sana,hawana cha kupoteza.