most of wadada wanatanguliza matarajio makubwa sana pind waingiapo kwenye mahusiano. Sasa unakuta mwanaume anampenda sana tu.. sema hajafikia hiyo level ambayo huyo dada ameitanguliza sana mbele. Sasa hapo ndipo... wanaanza kuleta dharau.. na kumtema msela. Kule kwa wenye hela nako hawajali.. maana wanajua wanaweza kumpata yoyote kwa wkt wowote.. wakiumizwa ndio wanarudisha majeshi.
Kwa kweli love is a cycle