Mzunguko Wa mapenzi

Mzunguko Wa mapenzi

Kindness7777

New Member
Joined
Feb 16, 2017
Posts
2
Reaction score
1
Wadada wengi huwakimbia wakaka wanaojali wasio na uwezo mkubwa wa kifedha na kuwafwata wenye pesa hata kama hawajali...baadae wakitendwa na wenye pesa hurudi kwa wanaojali kufarijiwa...maumivu yakiisha wakisahau huenda tena kwa wenye pesa![emoji4] [emoji4] [emoji4] ni mtazamo tu!
 
Wewe ni kaka? Sorry kuuliza na kama wewe ni kaka Basi lazima upo kwenye kundi Hilo la pili, Hilo la wafariji
 
Usisahau wanapenda wanaoendesha magari hata kama dereva teksi anayepeleka hesabu kwa bosi.
 
most of wadada wanatanguliza matarajio makubwa sana pind waingiapo kwenye mahusiano. Sasa unakuta mwanaume anampenda sana tu.. sema hajafikia hiyo level ambayo huyo dada ameitanguliza sana mbele. Sasa hapo ndipo... wanaanza kuleta dharau.. na kumtema msela. Kule kwa wenye hela nako hawajali.. maana wanajua wanaweza kumpata yoyote kwa wkt wowote.. wakiumizwa ndio wanarudisha majeshi.
Kwa kweli love is a cycle
 
Back
Top Bottom