Na CCM yangu tulivyofanya kufuru Dodoma kuanzia Tar 09 hadi 12 Julai, 2020

Tila-lila2

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
652
Reaction score
1,058
Ndugu yangu aliyeshiriki vikao vya Chama changu Dodoma akitokea Shinyanga ametamba kwa majidai ya KiSukuma kuwa CCM walifanya kweli Dodoma. Walianza na kuwaita wafanyabisahara wote wa Hoteli na Loji wakaamrisha kuwa kuanzia Tarehe 10 hadi 12 Julai vyumba vyote vya Hoteli na Loji zao wasipokee watu. Wakaamrishwa watakaokiuka wasije kulaumu huko baadaye.

Na kweli ilipofika siku hiyo mtu hata kama ulikuwa unakusudia kuwepo Hoteli au Loji husika kwa siku hizo na hata km ulikuwa umelipia walikuwa wanakurudishia njuru zako na unaambiwa utajijua kwani wao hawataki kukwaruzana na Serikali. Baadhi ya Hoteli na Loji wamiliki wake waliombwa wasaidie Chama bure na wakakubali kwa shingo upande.

Hata hivyo Hoteli na Loji hizo zilitunza nafasi hizo kwa wanaCCM lakini baadhi ya hizo waliofanyiwa booking hawakutokea na kusababisha hasara kwa wenye Hoteli na Loji hizo kwani CCM pia hawakuwa tayari kulipia vyumba ambavyo havikulaliwa. Baadhi ya Hoteli na Loji wale waliofanyiwa booking wakisaidiana na wahudumu wa Hoteli au Loji husika waliamua kuuza vyumba vyao na kuhamia kwenye loji au gesti za bei ya chini ili wanufaike zaidi na wengine waliamua kwenda kwa ndugu.

Hicho kilifanyika na kwa mabasi pia. Wamiliki wa baadhi ya mabasi walikataa kubeba abiria wao wa kila siku kwa kisingizio kuwa mabasi hayo yalifanyiwa booking na CCM yangu. Asilimia 60 ya mabasi ambayo huja na kutoka Dodoma yaliwakataa abiria wao wa kila siku na kusababisha taharuki kubwa kwani ilibidi watu kubadili tarehe za kusafiri bila kupenda.

Kwa kweli sio kwamba watu wamiliki wa Hoteli na Loji walipenda CCM walivyofanya isipokuwa wamefanya kwa mashinikizo makubwa sana na hofu papo!
 
"Baadhi ya Hoteli na Loji wale waliofanyiwa booking wakisaidiana na wahudumu wa Hoteli au Loji husika waliamua kuuza vyumba vyao na kuhamia kwenye loji au gesti za bei ya chini ili wanufaike zaidi na wengine waliamua kwenda kwa ndugu."
Hongera kwao Kama walipiga hela maana ndio lengo la biashara.
 
Machangudoa wameneemeka sn mara hii......ni mkutano ambao haukua na maananyoyote maana mgombea mmoja ni mungu mtu hapingwi na huyo wa Zanzibar wangeachiwa wazanzibari wenyewe wachaguane huko huko visiwani...
 
Na usisahau pia:
"Hata hivyo Hoteli na Loji hizo zilitunza nafasi hizo kwa wanaCCM lakini baadhi ya hizo waliofanyiwa booking hawakutokea na kusababisha hasara kwa wenye Hoteli na Loji hizo kwani CCM pia hawakuwa tayari kulipia vyumba ambavyo havikulaliwa."
 
Na Yule Dc wa Dodoma sijui this time hakuona jinsi machangu walivyopata soko awakamate na hao wateja wao.
 
Umesahau,baadhi ya wajumbe jinsia Ke ilibidi wakalale kwenye loji walizofikia jinsia Me kuzuia kile kibaridi cha Dodoma alichokitaji Mwenyekiti
 
Machangudoa wameneemeka sn mara hii......ni mkutano ambao haukua na maananyoyote maana mgombea mmoja ni mungu mtu hapingwi na huyo wa Zanzibar wangeachiwa wazanzibari wenyewe wachaguane huko huko visiwani...
Sisiem waliniudhi Sana, kikawaida huwa nikienda dodoma siwezi kulipia lodge nikalala mwenyewe, lazima niende pale uhindin nikachukue dago moja linipe kampani usiku.

Ile siku ya mkutano wao nikachelewa kwenda uhindini dakika5 nikakuta wamemaliza madada poa wote! Dah boda boda mmoja akanambia kumbe madada powa na wao walishafanyiwa booking mapema, Katambi aliwaonya ole wake atayeenda kutoa huduma kwa mteja mwingine tofaut na wa sisiem
 
Sisiem waliniudhi Sana, kikawaida huwa nikienda dodoma siwezi kulipia lodge nikalala mwenyewe, lazima niende pale uhindin nikachukue dago moja linipe kampani usiku.

Ile siku ya mkutano wao nikachelewa kwenda uhindini dakika5 nikakuta wamemaliza madada poa wote! Dah boda boda mmoja akanambia kumbe madada powa na wao walishafanyiwa booking mapema, Katambi aliwaonya ole wake atayeenda kutoa huduma kwa mteja mwingine tofaut na wa sisiem, so K zote wakajimilikisha wao
Hii kali sana sana!
 
Na Yule Dc wa Dodoma sijui this time hakuona jinsi machangu walivyopata soko awakamate na hao wateja wao.
Hahahaaa.........asingeweza kuukata mkono unaomlisha mkuu
 
Sisiem waliniudhi Sana, kikawaida huwa nikienda dodoma siwezi kulipia lodge nikalala mwenyewe, lazima niende pale uhindin nikachukue dago moja linipe kampani usiku.

Ile siku ya mkutano wao nikachelewa kwenda uhindini dakika5 nikakuta wamemaliza madada poa wote! Dah boda boda mmoja akanambia kumbe madada powa na wao walishafanyiwa booking mapema, Katambi aliwaonya ole wake atayeenda kutoa huduma kwa mteja mwingine tofaut na wa sisiem, so K zote wakajimilikisha wao
chama cha mafisadi......huu ndo ushetani halisi wa ccm
 
Na usisahau pia:
"Hata hivyo Hoteli na Loji hizo zilitunza nafasi hizo kwa wanaCCM lakini baadhi ya hizo waliofanyiwa booking hawakutokea na kusababisha hasara kwa wenye Hoteli na Loji hizo kwani CCM pia hawakuwa tayari kulipia vyumba ambavyo havikulaliwa."
very sad...
 
Hahahaaa.........asingeweza kuukata mkono unaomlisha mkuu
DC alichemka sana wakati ule. Alienda kuwapiga picha wenzake na kuwaonya waache kuchukua machangu wakali yeye kila leo inasemekana anachukua machangu wa barabarani. Ile alichemka sana hadi Mukulu akamtahadharisha kuwa aoe kwani mara tu baada ya kubwabwaja kuhusu wenzake, Mukulu akatumiwa clip yake Katambi akiwa anampakia changu maeneo ya Rain Bow!
 
Hahahaaa ...........shabashhh
 
Katambi chizi sana yule dogo,anadhani maisha yako vile vile! Kuna siku atakosa hata pesa yakununulia changu
 
Back
Top Bottom