Tila-lila2
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 652
- 1,058
Na usisahau pia:"Baadhi ya Hoteli na Loji wale waliofanyiwa booking wakisaidiana na wahudumu wa Hoteli au Loji husika waliamua kuuza vyumba vyao na kuhamia kwenye loji au gesti za bei ya chini ili wanufaike zaidi na wengine waliamua kwenda kwa ndugu."
Hongera kwao Kama walipiga hela maana ndio lengo la biashara.
Na Yule Dc wa Dodoma sijui this time hakuona jinsi machangu walivyopata soko awakamate na hao wateja wao.Machangudoa wameneemeka sn mara hii......ni mkutano ambao haukua na maananyoyote maana mgombea mmoja ni mungu mtu hapingwi na huyo wa Zanzibar wangeachiwa wazanzibari wenyewe wachaguane huko huko visiwani...
Sisiem waliniudhi Sana, kikawaida huwa nikienda dodoma siwezi kulipia lodge nikalala mwenyewe, lazima niende pale uhindin nikachukue dago moja linipe kampani usiku.Machangudoa wameneemeka sn mara hii......ni mkutano ambao haukua na maananyoyote maana mgombea mmoja ni mungu mtu hapingwi na huyo wa Zanzibar wangeachiwa wazanzibari wenyewe wachaguane huko huko visiwani...
Hii kali sana sana!Sisiem waliniudhi Sana, kikawaida huwa nikienda dodoma siwezi kulipia lodge nikalala mwenyewe, lazima niende pale uhindin nikachukue dago moja linipe kampani usiku.
Ile siku ya mkutano wao nikachelewa kwenda uhindini dakika5 nikakuta wamemaliza madada poa wote! Dah boda boda mmoja akanambia kumbe madada powa na wao walishafanyiwa booking mapema, Katambi aliwaonya ole wake atayeenda kutoa huduma kwa mteja mwingine tofaut na wa sisiem, so K zote wakajimilikisha wao
Hahahaaa.........asingeweza kuukata mkono unaomlisha mkuuNa Yule Dc wa Dodoma sijui this time hakuona jinsi machangu walivyopata soko awakamate na hao wateja wao.
chama cha mafisadi......huu ndo ushetani halisi wa ccmSisiem waliniudhi Sana, kikawaida huwa nikienda dodoma siwezi kulipia lodge nikalala mwenyewe, lazima niende pale uhindin nikachukue dago moja linipe kampani usiku.
Ile siku ya mkutano wao nikachelewa kwenda uhindini dakika5 nikakuta wamemaliza madada poa wote! Dah boda boda mmoja akanambia kumbe madada powa na wao walishafanyiwa booking mapema, Katambi aliwaonya ole wake atayeenda kutoa huduma kwa mteja mwingine tofaut na wa sisiem, so K zote wakajimilikisha wao
very sad...Na usisahau pia:
"Hata hivyo Hoteli na Loji hizo zilitunza nafasi hizo kwa wanaCCM lakini baadhi ya hizo waliofanyiwa booking hawakutokea na kusababisha hasara kwa wenye Hoteli na Loji hizo kwani CCM pia hawakuwa tayari kulipia vyumba ambavyo havikulaliwa."
DC alichemka sana wakati ule. Alienda kuwapiga picha wenzake na kuwaonya waache kuchukua machangu wakali yeye kila leo inasemekana anachukua machangu wa barabarani. Ile alichemka sana hadi Mukulu akamtahadharisha kuwa aoe kwani mara tu baada ya kubwabwaja kuhusu wenzake, Mukulu akatumiwa clip yake Katambi akiwa anampakia changu maeneo ya Rain Bow!Hahahaaa.........asingeweza kuukata mkono unaomlisha mkuu
Hahahaaa ...........shabashhhDC alichemka sana wakati ule. Alienda kuwapiga picha wenzake na kuwaonya waache kuchukua machangu wakali yeye kila leo inasemekana anachukua machangu wa barabarani. Ile alichemka sana hadi Mukulu akamtahadharisha kuwa aoe kwani mara tu baada ya kubwabwaja kuhusu wenzake, Mukulu akatumiwa clip yake Katambi akiwa anampakia changu maeneo ya Rain Bow!
Na ubaya hata uwakili hajaupata!Katambi chizi sana yule dogo,anadhani maisha yako vile vile! Kuna siku atakosa hata pesa yakununulia changu
Hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!Hiyo ndio ccm ni hatare