Na hali hii ya mvua DSM: Kama upo ndani ya mnyama Toyota Kluger punga mkono tusalimiane !

Umenunua wheel barrow yako used kwa mhindi Kisutu sasa majirani hawapumui. Kuna watu wana magari na wako kimyaa



Gari kiume hiyo hapo. Fedha yangu ikitimia nitanunua sio kuluga
HALI hii ya mvua ni hali NGUMU kwa magari ,HII inaweza kustahimiliwa na gari aina ya NISSAN ,mjapan hakufanya mchezo ktk NISSAN
 
Iv kluger na ist vimepishana nn kwenye ufupi? Acha dharau punga wewe gar yenyewe ya shemeji ako umepewa umpeleke dadako sokoni...

Wenye magar ndio wenye ndoto za kumiliki magar mazur we huna gar unaona kluger ya shemej ndio mwisho.

ULITAKA WOTE TUKUSIFIE ILI UNENEPE PEKE YAKO[emoji41] [emoji41] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…