Na hali hii ya mvua DSM: Kama upo ndani ya mnyama Toyota Kluger punga mkono tusalimiane !

Na hali hii ya mvua DSM: Kama upo ndani ya mnyama Toyota Kluger punga mkono tusalimiane !

haya baba kapite hapo Jangwani
udart-jpg.745353
Pia alete mrejesho [emoji1]
 
eti mnyama toyota kluger hahahahah...
huyo ni insect kuku wewe


next joke please
 
Khaaaaa sasa hiki kisuzuki wame kiwekea turbo si kukionea tu ?

its a 3 piston engine so hiyo turbo inatoa boost ya kufidia 4th piston... just like suzuki carry au terrios kid... na hata BHP hapo unakuta ni 80-90hp... hicho kiturbo kinaact kama 4th piston kwenye kuzalisha power
 
Back
Top Bottom