Na hali hii ya mvua DSM: Kama upo ndani ya mnyama Toyota Kluger punga mkono tusalimiane !

Na hali hii ya mvua DSM: Kama upo ndani ya mnyama Toyota Kluger punga mkono tusalimiane !

Dar es salaam masika ni shida. Kiangazi ni shida. Kiongozi wao ndio kwanza anawasikiliza wanawake waliotelekezwa.

Na vile msukuma hana habari na miundombinu. Ye anapita V8 yake yenye kibendera utamwambia nini.?
....huku mbowe yuko ubaoni, zee la kunyata linatafakari mtoto wake na barmaid.
 
haya baba kapite hapo Jangwani
udart-jpg.745353
Hivi hawa walio ruhusu huu mradi wa Mabus ya Mwendokasi ujengwe hapo alitumia vigezo gani.Baada ya muda hayo mabus yanaweza kujaa kutu.
 
Hivi hawa walio ruhusu huu mradi wa Mabus ya Mwendokasi ujengwe hapo alitumia vigezo gani.Baada ya muda hayo mabus yanaweza kujaa kutu.
Aiseeh.....wameua kama mabasi kumi hiviii !
Ukiwaita uwaulize sasa.....cv ndeefu na vyeti kibao. Hivi uzoefu wote waliopata kwa kuishi hapo wameshindwa kuondoa hayo mabasi kabla na kuyapaki mahali pengine !
 
Na ukute unamwendesha bibi wa baba mwenye nyumba yako
 
ndio maana nilitaka kuuliza.....ni wenye kluger tu ndio wasalimiane..........which means wengine tupite kimya kimya......anyway.....nakusalimia mkuu Fortuner.......
Preta leo umeamua utokee kwenye huu uzi?
 
Umenunua wheel barrow yako used kwa mhindi Kisutu sasa majirani hawapumui. Kuna watu wana magari na wako kimyaa

Toyota_Fortuner_facelift_II_001_China_2016-04-13.jpg

Gari kiume hiyo hapo. Fedha yangu ikitimia nitanunua sio kuluga
Sasa wakati we hela yako imetimia kununua hio fortuner, guess sie wa Kluger yetu imetimia kununua nini?
 
Aiseeh.....wameua kama mabasi kumi hiviii !
Ukiwaita uwaulize sasa.....cv ndeefu na vyeti kibao. Hivi uzoefu wote waliopata kwa kuishi hapo wameshindwa kuondoa hayo mabasi kabla na kuyapaki mahali pengine !
Na hapo ni kodi yako inateketea wao wapo kwenye MaVx sasa hivi.Bara la Africa hususani kusini mwa jangwala sahara wananchi wake wanatabika sana hili hali viongozi wao wengi wakishi maisha ya peponi lakini cha kushangaza wanawakumbatia viongozi hao hao miaka nenda rudi.
 
Back
Top Bottom