Na hali hii ya mvua DSM: Kama upo ndani ya mnyama Toyota Kluger punga mkono tusalimiane !

Na hali hii ya mvua DSM: Kama upo ndani ya mnyama Toyota Kluger punga mkono tusalimiane !

Dah! Jf tunadharauliana kishenzi. Pitisha gari lako jangwani na mimi nipitishe usafiri wangu sijui ni nani atakaezama kwenye maji.
Kausafiri kangu hapa hapo
boti%20yangu.jpg
 
Hili halina uhusiano na
Afrika tunao wasomi wengi wenye mavyeti na uzoefu hila wakishaingia kwenye siasa maamuzi yao ubadilika sana.

viongozi, ni suala la weledi. Walio amua kwenda pale bondeni ni professionals na ndio maana nikasema vyeti.

Bado, pamoja na taarifa za hali ya hewa na uzoefu wao wa mafuriko pale, hakuna mtu aliyebeba jukumu la kuzitoa zile gari na kupeleka mahali salama. Gari /Mabasi yamefunikwa na maji, hizo engine zake zitakuwaje !?
 
Watu mnadharau sana, ngoja nipaki kwanza Mercedes GLE 63 amg Coupe yangu kwanza ndo tuongee vizuri, maana nyie wenye magari mnayonunua Kwa kuigana kama sare za kitchen party mnaongea sana na Vitoy vyenu vya chenji za nyanya.
da07c8b6f1d193a7614f965003b07bf4.jpg
 
Kwa heshima na taadhima nawasalimu ndugu zetu wenye vitz, ist, passo, na jamii yao yote maana dah najua mnavyoteseka na mitaro plus utelezi kwenye vilima. Hahahahahaha

Wale wa Toyota Kluger hasa kama nyeusi ama blue metallic hv shikamooni nawasalimu hahahahahaha. Hebu punga mkono tusalimiane japo kidogo huku tunaendelea na mishe zetu. Ooooohhhh yeaaaaahhhhh !

"No offence"

Nami nimeshangaa jinsi Toyota Kluger inavyokata maji katika madimbwi na mifereji ya barabara za Dar. Hilo gari nimelikubali. Hasa baada ya kumsikia mtu mmoja akiita Prado "Lori", pale BF gerezani.
 
Kwa heshima na taadhima nawasalimu ndugu zetu wenye vitz, ist, passo, na jamii yao yote maana dah najua mnavyoteseka na mitaro plus utelezi kwenye vilima. Hahahahahaha

Wale wa Toyota Kluger hasa kama nyeusi ama blue metallic hv shikamooni nawasalimu hahahahahaha. Hebu punga mkono tusalimiane japo kidogo huku tunaendelea na mishe zetu. Ooooohhhh yeaaaaahhhhh !

"No offence"
Kumbe na rangi inasaidia usipate taabu na mvua mkuu
 
Kwa heshima na taadhima nawasalimu ndugu zetu wenye vitz, ist, passo, na jamii yao yote maana dah najua mnavyoteseka na mitaro plus utelezi kwenye vilima. Hahahahahaha

Wale wa Toyota Kluger hasa kama nyeusi ama blue metallic hv shikamooni nawasalimu hahahahahaha. Hebu punga mkono tusalimiane japo kidogo huku tunaendelea na mishe zetu. Ooooohhhh yeaaaaahhhhh !

"No offence"

Mi Vitz yangu poa kabisa na ninavuka Jangwani kama mchezo maana kwa sasa naitumia as a boat na ninavusha watu, kwa siku sikosi milioni 3.
 
Mnaoponda kluger, msitukosee heshima huo mtambo ni technology ya juu sana
 
Haya Haya...msiempenda KAJA. Mvua hizooooo, Crown, Verosa, Alteza, MarkX, na taka ngumu nyingine za aina hiyo ziachwe nyumbani. Mnavyozimika zimika barabarani mnatuletea msongamano sisi wenye vyombo vya all weather.
 
Back
Top Bottom