Na hali hii ya mvua DSM: Kama upo ndani ya mnyama Toyota Kluger punga mkono tusalimiane !

Na hali hii ya mvua DSM: Kama upo ndani ya mnyama Toyota Kluger punga mkono tusalimiane !

Na hapo ni kodi yako inateketea wao wapo kwenye MaVx sasa hivi.Bara la Africa hususani kusini mwa jangwala sahara wananchi wake wanatabika sana hili hali viongozi wao wengi wakishi maisha ya peponi lakini cha kushangaza wanawakumbatia viongozi hao hao miaka nenda rudi.
Hili halina uhusiano na viongozi, ni suala la weledi. Walio amua kwenda pale bondeni ni professionals na ndio maana nikasema vyeti.
Bado, pamoja na taarifa za hali ya hewa na uzoefu wao wa mafuriko pale, hakuna mtu aliyebeba jukumu la kuzitoa zile gari na kupeleka mahali salama. Gari /Mabasi yamefunikwa na maji, hizo engine zake zitakuwaje !?
 
HALI hii ya mvua ni hali NGUMU kwa magari ,HII inaweza kustahimiliwa na gari aina ya NISSAN ,mjapan hakufanya mchezo ktk NISSAN
Hebu njoo na Nissan yako hapo iwe sijui March,juke,wingroad,sunny uone kama hujaacha kende hapo mkuu.
 
Kluger imepitwa Na wakati tayari, Toyota hawatengenezi tena Hiyo gari! Toyota Vanguard Ndio Habari ya mujini kwa Sasa. Ni toleo mbadala wa Kluger.
Acha uongo mkuu au huko kwenu kibondo hauzioni ndio maana ukajua kluger hazitengenezwi tena.

Kluger zinatengenezwa kama kawa na ni kali hatariiiii.
 
Ila ukiwa ndani kanadunda dunda balaa aiseee mpk ukimaliza safari unasikia mwili unawasha ka umekunywa "klorokwini" vile aisee.

Huwezi kupata vitu vyote kwa pamoja mkuu. Ufurahie bajeti ya mafuta, 4 wheel, uimara wa gari. Upate na comfortability tena? Lazima uwe kama umepanda trekta, hata kwenye lami inakurusha tu.
 
Huwezi kupata vitu vyote kwa pamoja mkuu. Ufurahie bajeti ya mafuta, 4 wheel, uimara wa gari. Upate na comfortability tena? Lazima uwe kama umepanda trekta, hata kwenye lami inakurusha tu.
Hio ni kweli na ndio maana wengine hayo mambo ya bajeti ya mafuta yalitupita kushoto kidogo cz utabana kwny mafuta ila in long run hio hela utaitumia kujitibu mgongo kutoka stiff suspension za hio gari.
 
Kwa heshima na taadhima nawasalimu ndugu zetu wenye vitz, ist, passo, na jamii yao yote maana dah najua mnavyoteseka na mitaro plus utelezi kwenye vilima. Hahahahahaha

Wale wa Toyota Kluger hasa kama nyeusi ama blue metallic hv shikamooni nawasalimu hahahahahaha. Hebu punga mkono tusalimiane japo kidogo huku tunaendelea na mishe zetu. Ooooohhhh yeaaaaahhhhh !

"No offence"
mi nimo kwenye Range Rover "Sport" ndugu!
upo??
 
Hio ni kweli na ndio maana wengine hayo mambo ya bajeti ya mafuta yalitupita kushoto kidogo cz utabana kwny mafuta ila in long run hio hela utaitumia kujitibu mgongo kutoka stiff suspension za hio gari.

Inategemea unaishi wapi mkuu. Kwa hizi mvua yapo maeneo bila 4x4 lazima upaji au uvutwe. Hapo ndio heshima ya Jimny inakuja sasa.
 
Mkuu labda unazungumzia Jimny za miaka ya 70 uko. Ila hizi za kisasa kuanzia 2000 na kuendelea zipo poa sana
Chief nilikua nayo jimny 2003 niliinunua kwa mtu though ilikua kwny mint condition na niliipenda kwny kila kitu except confortability yake.
 
Inategemea unaishi wapi mkuu. Kwa hizi mvua yapo maeneo bila 4x4 lazima upaji au uvutwe. Hapo ndio heshima ya Jimny inakuja sasa.
Hio ni kweli mkuu na hapo naipa 100%.Vijana wa kisasa wakiiona jimny ilivyo na wakiambiwaga bei yake huwa wanachanganyikiwa kabisaa.
 
Back
Top Bottom