Antennah
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 6,754
- 8,750
na nimeshangaa kwa kweliShangaa na wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na nimeshangaa kwa kweliShangaa na wewe
Nimependa hiyo nyumba kwenye kisiwa hichohaya baba kapite hapo Jangwani
![]()
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo za jf zinachekesha sanana nimeshangaa kwa kweli
AiseeeeEti hizo zinaitwa usafiri, mengine ni magari[emoji23]
Thanks for the compliments!Boya ww
Duh mkuu utakuwa hujasoma uchumi kabisa. Kwa nini usichukue kluger uiuze ununue Passo tatu?Nikipewa Passo na Kluger ya bure, nachagua Passo.
Ndo umepunga?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Auntie nimepunga nipo kwa mwendokasi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo umepunga?
HALI hii ya mvua ni hali NGUMU kwa magari ,HII inaweza kustahimiliwa na gari aina ya NISSAN ,mjapan hakufanya mchezo ktk NISSANUmenunua wheel barrow yako used kwa mhindi Kisutu sasa majirani hawapumui. Kuna watu wana magari na wako kimyaa
![]()
Gari kiume hiyo hapo. Fedha yangu ikitimia nitanunua sio kuluga
HahaaaNo wonder mleta mada yupo kwenye daladala ameshika bomba..ndo maajabu kidogo tu ya JF
HALI hii ya mvua ni hali NGUMU kwa magari ,HII inaweza kustahimiliwa na gari aina ya NISSAN ,mjapan hakufanya mchezo ktk NISSAN
Kiangazi kuna shida gani?Dar es salaam masika ni shida. Kiangazi ni shida. Kiongozi wao ndio kwanza anawasikiliza wanawake waliotelekezwa.
Na vile msukuma hana habari na miundombinu. Ye anapita V8 yake yenye kibendera utamwambia nini.?
Acha uongo mwendokasi zimepaki gerezaniAuntie nimepunga nipo kwa mwendokasi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pungeni vifuaNa sisi wenye Land Rover !
Za morroco zinapiga kaziAcha uongo mwendokasi zimepaki gerezani
Zinaogopa mvua kama mtoto wa udongo