Na hali hii ya mvua DSM: Kama upo ndani ya mnyama Toyota Kluger punga mkono tusalimiane !

Khaaaaa sasa hiki kisuzuki wame kiwekea turbo si kukionea tu ?
 
Kluger imepitwa Na wakati tayari, Toyota hawatengenezi tena Hiyo gari! Toyota Vanguard Ndio Habari ya mujini kwa Sasa. Ni toleo mbadala wa Kluger.
 
Dar ni shida tupu!!! Vipi ikipiga wiki nzima?
 
Cc ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…