Na hii ndio tofauti ya klabu bingwa na kombe la shirikisho

Na hii ndio tofauti ya klabu bingwa na kombe la shirikisho

Natamani ni-reply kila komenti ya KOLOZIDAD [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ligi ya wanaume tena wababe,sio kule kwa wacheza rede.
Screenshot_20240919-090722_Chrome.jpg
 
Yaani ni vurugu tu, mara wacheze uchi mara walishane keki ni uzumbukuku mtindo mmoja.....

Kweli unaingia ktk mashindano ya kiume CL theni unabana pua BYUTI BYUTI dah......

Utopolo ni sawa na afande rama wa kule[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
Samqleko ostadhi
 
Back
Top Bottom