Na hii ndio tofauti ya ma MC wa uswazi na wa ushuani

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila Sherehe za uswazi zinafana sana..
Lazima ubaki na kumbukumbu..


Za masaki MC anarudia zaidi ya mara nne kuwaambia watu waelekee kwenye chakula..
Watu wako busy na simu..
Kila mtu anajiona 'somebody'..
Pozi nyingi ..za uswazi aliezifumania beer utamjua tu..
 

Sherehe za uswazi ukifanya ukaguzi hukosi bia chini ya meza kadhaa.
 
Heheheh
 
Hivi unadhani kwanini ile sinema ya KIGODORO iliuza sana huko ushuani..!? Jibu simple, wanayatamani maisha ya uswahilini kwetu

Ile mihogo na visamaki pale koko beach vya nini!? Unadhani nani wananunua pale..!!? Tena vinauzwa kiswahili kwelikweli... kuna mtu anatoka Mbagala kwenda kununua vile visamaki na mihogo pale..!!?? Jibu hapana... na vipo pale ili wa ushuani waonje maisha ya uswahilini... na wanayapenda haswa

MAISHA YA USHUWANI HATUYATAKI USWAHILI KWETU... ndo maana huwezi kuta BAGA inauzwa mbagala... ila masalo kuuzwa koko beach ni sawa na utayakuta yana ndimu za kutosha... AHAHAHAHAA
 
Ndoa ni kumbukumbu safi sana katika maisha ila nahisi sasa kuna watu hawaangalii video za sherehe za harusi zao sababu ya choice ya MC wa harusi.
Kuna jamaa yangu alimpa shavu DrKumbuka katika harusi yake sasa hivi anaichukia hata kuiona video ya sherehe kwa vitimbwi vya huyo MC vinavyoendelea huko mitandaoni.
 
Mungu wangu weeeeh nimecheka hadi machozi khaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mama yoyooooooh weee nakufa mwenzio hukuuuuh khaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
MC wa Masaki: Wahudumu hakikisheni meza haikai bila kinywaji.

MC wa Mbagala nk: Wahudumu sitisheni kugawa vinywaji mpaka tutakapokula.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] sina mbavu uwiiiiiiih
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…