MANENO YA ma MC KWENYE HARUSI ZA Masaki,Oysterbay,Upanga na Mikocheni
>Karibuni wageni waalikwa kuna cocktails ipo pale kwa ajili yenu
>Mwenye gari namba DTA142 amepaki vibaya gari yake inaziba njia.
>Kamati ya chakula mjiandae
>Kwa heshima na taadhima naomba maharusi wetu msogee hightable.
MANENO YA ma MC KWENYE HARUSI ZA Bonyokwa,Manzese,Mbagala,Keko na Buza.
>Mlizani haolewi na sasa kaolewa wenye visokolokwinyo mtakufa kwa vijaba vya roho[emoji3].
>Asiyetunza mchawi.
>Asiye na mwana,aeleke jiwe Bibi weweee[emoji23].
>Nyie mnaocheza karibu na waya ondokeni hapo msije mkazima muziki.
>Jamani msimrudie chakula mara mbili kuna wenzenu hawajala[emoji23]
Ongezea na yako!