Na hizi ndio 20 Tv series kali of all the time

yani ili nione movie nzuri mpaka nianze kusoma kitabu,mizinguo mitupu si wangeendelea kuandika mavitabu yao,nini kuconvert watu!
 
Wakuu anayejua jinsi ya kuzipata

Vikings
Shannara boy (Chronicles)
Lost
Into the badlands

Napenda sana movie za uchawi na mapanga

Kasuuzeni macho
Na hizi

See ( ya babavos na idovos)
The Book of souls
Canon the Barbarians
Motorl Combat
 
Zangu nilizopenda na sijaziona hapa...

1. HUSTLE


2. PSYCH




3. BURN NOTICE



4. LEVERAGE




5. C.S.E: MIAMI



6. WORST WEEK (Season moja tu ila sidhani kama kuna show niliyowahi kuipenda zaidi a hii)



7, NIKITA



8. RENEGADE

 

Attachments

  • 1661059655179.png
    265 KB · Views: 55
Mimi mpaka Leo sijaona series kali kuizidi Game of Thrones.
 
Tuacheni utani Prison Break ni movie aiseee, tena ilichukuliwa miaka ya zamani tofauti na hizi za sasa. Hata Money Heist wamejitahidi mno pia.
 
Na sasa hivi wametoa house of the dragons
 
Sopranos
 
The girls has no name.
 
1. Breaking Bad

2. Prison Break

3. Jumong

4. IRIS

5. King Gwangaetto

Hizo ndio series zangu kali za muda wote.
 
Mad Men
House of Cards
Six Feet Under
 
The resident mmmh ni mwisho.
Shadow hunters hatarii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…