Pagani Zonda
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 685
- 468
M
mmhhQueen of south bonge la dude ilistahili iwe kwenye list kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmhhQueen of south bonge la dude ilistahili iwe kwenye list kabisa
Sex education mmmh ya kitotooooUnasahau vipi series kama Power, Sex Education, Vagabond n.k
Hivi inakuaje Friends mnaiweka kwenye kist halafu How I met your mother haipo?? Wakati HIMYM ni bora mara 100 kuliko friendsKwenye list yangu Friends naipa number 1
Friends ni bora zaidi...Hivi inakuaje Friends mnaiweka kwenye kist halafu How I met your mother haipo?? Wakati HIMYM ni bora mara 100 kuliko friends
Ni kweli brooo, ile kitu ni noma na nusuKwangu mimi hakuna TV series kali kama PRISON BREAK!
Sijui kama itakuja kutokea!
Haha basi tunatotautiana taste..HIMYM inachekesha zaidi kuna yule Bernie ni full comedy..ila friends mim naona dilogue zake za kawaida kabisaFriends ni bora zaidi...
How i meet your mother naionaga ya kawaida sana...
Nadhani ni personal preference. Kwenye hiyo list nimeona kuna Money Heist. Kwangu money heist ni takataka iliyoshindikana hata kuchakatwa. Kuna Game of Thrones ambayo niliipenda hadi s03 baada ya hapo nikaona ujinga tu. Kuna blindspot ambayo hata season 1 sikuimaliza na yenyewe niliona ya hovyo. Hata mimi na prefer HIMYM kuliko Friends.Hivi inakuaje Friends mnaiweka kwenye kist halafu How I met your mother haipo?? Wakati HIMYM ni bora mara 100 kuliko friends
Friends kuna Rhose, Joe, Chandler, Rechel, Phoebs, Monica wanavituka sana aisee...Haha basi tunatotautiana taste..HIMYM inachekesha zaidi kuna yule Bernie ni full comedy..ila friends mim naona dilogue zake za kawaida kabisa
GommoraTofauti na movie ubora wa Tv series unapimwa na mambo mengi, ila sana sana ni namna story inavopikwa na kuweza kumshika mtazamaji episode baada ya episode, Twende moja kwa moja kwenye mada list ina majina 20 ya series ambazo zipo kwenye random order
01. Game of throne (season 8)
02.prison break (season 5)
03.breaking bads ( season 5)
04. vikings (season 6)
05. Homeland (season 8)
06. Blacklist ( season 9 ongoing)
07. Ozark (sn 4 ongoing)
08.Money heist (season 5)
09. 24 jack bauer (season 9)
10. The originals ( season 5)
11.the revolution ( season 2)
12.blindspot (season 5)
13. the last ship ( season 5)
14. peaky blinders ( season 5)
15. The walking dead ( season 11)
16.Billions (seasons 5)
17.Banshe (season 4)
18.the wire (season 5)
19.Friends ( season 11)
20.Lost (season 6)
nikumbushe ipi nimesahau, ipi unaikubali, au ipi haikustahili kuwepo kwa list.