Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Hii kila nikitaka kuianza nachemkaGame of throne moja kati ya season ya hovyo kabisa ,ambayo haijawahi tokea duniani...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kila nikitaka kuianza nachemkaGame of throne moja kati ya season ya hovyo kabisa ,ambayo haijawahi tokea duniani...
Hivi homeland iliisha kabisa. Nilisikitika alivyokufa yule jamaa aliyekuwa anampenda sana yule dem halafu demu anajifanya kama haoni vile.Tofauti na movie ubora wa Tv series unapimwa na mambo mengi, ila sana sana ni namna story inavopikwa na kuweza kumshika mtazamaji episode baada ya episode, Twende moja kwa moja kwenye mada list ina majina 20 ya series ambazo zipo kwenye random order
01. Game of throne (season 8)
02.prison break (season 5)
03.breaking bads ( season 5)
04. vikings (season 6)
05. Homeland (season 8)
06. Blacklist ( season 9 ongoing)
07. Ozark (sn 4 ongoing)
08.Money heist (season 5)
09. 24 jack bauer (season 9)
10. The originals ( season 5)
11.the revolution ( season 2)
12.blindspot (season 5)
13. the last ship ( season 5)
14. peaky blinders ( season 5)
15. The walking dead ( season 11)
16.Billions (seasons 5)
17.Banshe (season 4)
18.the wire (season 5)
19.Friends ( season 11)
20.Lost (season 6)
nikumbushe ipi nimesahau, ipi unaikubali, au ipi haikustahili kuwepo kwa list.
No shade but sijawahi kusikia mtu anaependa shameless ya UK ...interestingHow I met your mother, shameless (I prefer UK version but some people prefer US version ) ,Stranger things, cobra kai,blackish ,power , everybody hates Chris, Marlon , if loving you is wrong, Ertugru , All Hail King Julien ,Lupin, into the badlands, Bridgerton.
Mkuu inaonekana wewe husomi kila kitu, ni wale vilaza mnasoma juu na chini. 24 kaweka hapo sasa akushukuru vipi? Watanzania mna shida ya afya ya akili.Mkuu tafuta 24hrs utanishukuru.
Kwangu Mimi hizi ndo boraTofauti na movie ubora wa Tv series unapimwa na mambo mengi, ila sana sana ni namna story inavopikwa na kuweza kumshika mtazamaji episode baada ya episode, Twende moja kwa moja kwenye mada list ina majina 20 ya series ambazo zipo kwenye random order
01. Game of throne (season 8)
02.prison break (season 5)
03.breaking bads ( season 5)
04. vikings (season 6)
05. Homeland (season 8)
06. Blacklist ( season 9 ongoing)
07. Ozark (sn 4 ongoing)
08.Money heist (season 5)
09. 24 jack bauer (season 9)
10. The originals ( season 5)
11.the revolution ( season 2)
12.blindspot (season 5)
13. the last ship ( season 5)
14. peaky blinders ( season 5)
15. The walking dead ( season 11)
16.Billions (seasons 5)
17.Banshe (season 4)
18.the wire (season 5)
19.Friends ( season 11)
20.Lost (season 6)
nikumbushe ipi nimesahau, ipi unaikubali, au ipi haikustahili kuwepo kwa list.
Raised by wolves iko poa season 1..ila mi walivyoanza habar za kupaa tu nikaona huu uzushi nikaachana nayo.Series zinazoitaji utilize akili
[emoji117] Westworld (season 3 Bado inaendelea)
[emoji117]Raised by wolves (season 3 Bado inaendelea)
Game of thrones ni series kali sana rafiki angu,kitu ambacho watu wengi hawajui ni kwamba ile series imetokana na mfululizo wa vitabu ambavyo kwa pamoja vinaitwa A SONG OF ICE AND FIRE....ni vitabu vipo kama vitano na bado havijaisha. Sasa ile story ya kwenye series sio mwanzo pale,ile story ina mwanzo wake ambao upo kwenye vitabu,kama hujui hayo matukio ya nyuma ambayo yanapatikana kwenye vitabu basi hutoielewa ile story..
Ukapimwe akili maana ile tv show inahitaji uwe na akili pia kuielewa.Game of throne moja kati ya season ya hovyo kabisa ,ambayo haijawahi tokea duniani...
Kwann mkuuGame of throne moja kati ya season ya hovyo kabisa ,ambayo haijawahi tokea duniani...
Hii ngoja niitafutie muda maana kila nikianza naishia episode ya piliUkapimwe akili maana ile tv show inahitaji uwe na akili pia kuielewa.
ONDOA HII KITU02.prison break (season 5)
Its me, joey🤣🤣🤣Kwenye list yangu Friends naipa number 1
Nomaaaa sana. Hizi ndio comedy zimeenda shuleFriends all seasons