Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujakosea kutaja PB kama series yako #1, binafsi naona kama iliharibu ubongo wangu wa kuangalia series. Kuna watu walisifia humu money heist kuwa ni kali ama vinalingana na PB au inaizidi PB, ikaniladhimu kuitafta huwezi amin niliifuta baada ya kufikia season ya 2. Stori nyepesi sana kama za bongo movi.Nadhani Into the Badlands ilipaswa kuwepo pia kaka. Squid Game ipo season 1 pekee lakini nayo haichoshi kuitazama.
Prison Break ni ya moto saaana japo nimeishia season 2. Kwangu ndio Series bora zaidi mpaka sasa.
Ongera kwa kuleta thread nzuri hivi.
My second and last series movies to watch after Prison BreakMkuu tafuta 24hrs utanishukuru.
Kwenye Prison break nakuunga mkono kwangu pia ni series yangu no 1 kwa uboraNadhani Into the Badlands ilipaswa kuwepo pia kaka. Squid Game ipo season 1 pekee lakini nayo haichoshi kuitazama.
Prison Break ni ya moto saaana japo nimeishia season 2. Kwangu ndio Series bora zaidi mpaka sasa.
Ongera kwa kuleta thread nzuri hivi.
Uko kama mm mzee, sielew why baadhi wanaisifia, ina utoto mwingi sana.Ya kitoto uongo mwing
ukiongelea vampire diaries story yake inaanzia kwenye the originals na tukiongelea hii the originals ndo ilileta hamasa ya tv shows nyingi kuongelea story za supernatural baada ya hii kupokelewa vzribro kwangu mimi japo sijamaliza lakini series zifuatazo naona za kawaida japo si mbaya,the originals(hii nimeangalia season 1 tu), revolution,money heist (hii baada ya heist ya kwanza story imelazimishwa tu),blacklist na lost...nyingine sijaziona,nadhan ungeongeza series zifuatazo Vampire Diaries,Spartacus,Rome,Narcos,Band of brothers, Chernobyl na outlander
sure mkuu kila mtu ana ladha yake ndo maana mzozo ni mkali [emoji28][emoji28] we unaipa namba moja then kuna mtu anasema hajaielewa kabisaUzuri wa kitu upo machoni pa mtu, kila mtu ana ladha yake anayopenda, ukiona ww umependa haimaanishi ni nzr kwamba itapendwa na kila mtu
Binafsi yangu hizo siangalii kabisa lakini ukinikuta naangalia za kikorea zile walizoigiza kizamani hunitoi hapo.
Vitu kama The land of the wind, The great seer, The emperor of the sea, Jumong, The great Queen sendeok nk.
Yani mule kuna vionjo vinavyonifanya nacheka mwenyewe kama chizi.
Hizo ndio aina ya series kali kwangu
stranger things ni moto sana sema wanasua sua kutoa season 4 ndo wanaponikera huenda ikaishia njiani kama badlandInto the badlands,
The beauty and the beast,
Kyle XY,
Stranger Things,
Transporter ( The series),
FBI,
Iron Fist,
The Punisher,
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]chenchi walikupa kweli broHujakosea kutaja PB kama series yako #1, binafsi naona kama iliharibu ubongo wangu wa kuangalia series. Kuna watu walisifia humu money heist kuwa ni kali ama vinalingana na PB au inaizidi PB, ikaniladhimu kuitafta huwezi amin niliifuta baada ya kufikia season ya 2. Stori nyepesi sana kama za bongo movi.
Nijaribu kuelezea scenario mbili ambazo zinalengo moja. Ili mpango wa Scofield afanikiwe kutoroka gerezani, alimuchagua Sarah kama mtu wa kifanikisha mpango wake, akamuweka karibu pamoja na ups and downs katika kumuweka karibu akatengeneza tukio moja alafu akalisove mwenyewe ili awe gentleman kwa dem, akazima system ya kusaplay hewa gerezani wafungwa wakaliamusha wakaenda hadi kwenye chumba cha Sarah, gentleman akamuokoa. So alivyoambiwa aache mlango wazi was a temptation filled with passion of love kwa Sarah.
Tukija kwa money heist professor mahesabu yake ya kumuweka karibu afande wa kike haikuwa concrete, very poor scenario ambayo ni kiwango cha bongo movi. Afande anajua anadate na jambazi, anamkamata alafu anamuachia, then anaenda kujoin na jambazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
From there nikaifuta kwenye disk yangu na kwenda kuomba chenchi