Na hizi ndio 20 Tv series kali of all the time

Friends ni bora zaidi...

How i meet your mother naionaga ya kawaida sana...
Haha basi tunatotautiana taste..HIMYM inachekesha zaidi kuna yule Bernie ni full comedy..ila friends mim naona dilogue zake za kawaida kabisa
 
Hivi inakuaje Friends mnaiweka kwenye kist halafu How I met your mother haipo?? Wakati HIMYM ni bora mara 100 kuliko friends
Nadhani ni personal preference. Kwenye hiyo list nimeona kuna Money Heist. Kwangu money heist ni takataka iliyoshindikana hata kuchakatwa. Kuna Game of Thrones ambayo niliipenda hadi s03 baada ya hapo nikaona ujinga tu. Kuna blindspot ambayo hata season 1 sikuimaliza na yenyewe niliona ya hovyo. Hata mimi na prefer HIMYM kuliko Friends.
Kuna watu wanaona Money Heist ni bora sana kuliko hata Prison Break. Japo ni mapenzi yake kwa Money heist ila wenye such opinion mimi nawaona wameanza kufuatilia series labda kuanzia 2015 kuja huku
 
Prison break...

power...

tyrant...

unfaithfully...

unseen ( mpya 2023 machalii wa kwa madiba tu hapo wamekinukisha mbaya)...

the oval...

24 hours...
 
Kwa sasa

From s02
Rabit Hole s01
Drops of God s01
Plan B s01
Slow Horses s01
The Mandalorian s01 - s03
Andor s01
Citadel s01
 
Haha basi tunatotautiana taste..HIMYM inachekesha zaidi kuna yule Bernie ni full comedy..ila friends mim naona dilogue zake za kawaida kabisa
Friends kuna Rhose, Joe, Chandler, Rechel, Phoebs, Monica wanavituka sana aisee...
 
Kwa sasa

From s02
Rabit Hole s01
Drops of God s01
Plan B s01
Slow Horses s01
The Mandalorian s01 - s03
Andor s01
Citadel s01
Hijack & night action kama hazipo kwenye list huu uzi upuuzwe
 
Gommora
 
Reactions: PYD
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…