Na idea ya biashara nahitaji msaada

Na idea ya biashara nahitaji msaada

KRISTIAN P

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
352
Reaction score
57
Habari wadau, nimekuwa na idea kichwani kwangu muda sana ila nashindwa sijui nianzie wapi. Nimepata bahati ya kusafiri nje ya nchi kila mwaka mara mmoja na kaa uku miezi sita (Denmark), nikapata wazo la kuwa na nunua vitu used na kutuma Bongo. Kutokana na mtaji wangu ni mdogo nimeona nianze na vitu vidogo vidogo kama simu, computer,Playstation; flat screen na vingine.. ila nataka niwe natuma kupitia posta, nimeshafungua p.o.box kwa ajili ya kutuma mizigo. Tatizo linakuja pale posta wana ushuru mkubwa sana. Je akuna connection yoyote naweza pata au njia yoyote kutokana ndio na anza sina huwezo wa kutuma kontena. Ata mbuyu ulianza kama mchicha. Natanguliza shukurani.
 
mkuu wa kuupokea nani?

Kuna mdogo wng yupo ndio anafatilia kama nikituma kitu anaenda kufata posta, nilijaribu kutuma hapa siku za nyuma wanazingua sana posta.. ndio mana nikauliza kama kuna connection nzuri naweza kutrust tunaweza fanya biashara. Wote tukapata kula..
 
Ushauri wangu Tafuta mtu anaefanya kazi shirika la ndege...itakuwa rahisi kwako
 
Hao posta watakuja kukuliza siku moja.Ila kodi haikwepeki mkuu,unless useme kuwa unataka mtu wa kukufanyia magumashi ili ukwepe na kodi.All in all,tafuta mtu wa mashirika ya ndege kama alivyosema the boss lakini pia ongea na watu ambao wanatuma mizigo kuja bongo toka US na ulaya.Mcheki mtu anaitwa Lukosi humu ndani anaweza kukupa connection.au kampuni nyingine za kibongo ambazo zipo London na US,google utazipata.watakupa connections naamini.
 
Back
Top Bottom