Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Katika Nchi ya Thailand kuna pwani ambayo inaongoza kwa utalii wa umalaya Duniano. Sijui wakati huu inakuwaje, Uviko-19 imepiga pabaya sana.Biashara huria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika Nchi ya Thailand kuna pwani ambayo inaongoza kwa utalii wa umalaya Duniano. Sijui wakati huu inakuwaje, Uviko-19 imepiga pabaya sana.Biashara huria
Aache watu wafanye business zao watafute hela maisha yenyewe magumu. Corona ipo hadi Bungeni, angeanza na huko[emoji14]Nahisi aliandika machangudoa ila ulimaanisha wote wanaoshiriki hiyo biashara. Neno changudoa linaegemea sana kwa wanawake"...ila umalaya angalau linagusa jinsia zote.
Pattaya kila kitu kimesimama, wale madada wengi wamerudi makwao, hali ni mbaya.Katika Nchi ya Thailand kuna kwani ambayo inaongoza kwa utalii wa umalaya Duniani. Sijui wakati huu inakuwaje? Uviko-19 imepiga pabaya sana.
Daaah! hali ni tete.Pattaya kila kitu kimesimama,wale madada wengi wamerudi makwao,hali ni mbaya.
We unataka uishi milelePamoja na wimbi la changamoto ya upumuaji bado wafanya biashara pendwa wapo bize Kama vile hakuna kinachoendelea? Wateja nao Kama vile hakuna mbadala ndugu zangu. Utabanwa mbavu ufe mapema.
Swali lako umelielewa vizuri au umeuliza tu?We unataka uishi milele
Ila hata wanaume wanaobadili wanawake kila kukicha nao wako mule mule. Tofauti ni kwamba tu hawasimami barabarani, likewise kwa wanawake wanaobadili wanaume kila kukicha nao ni machangudoa.Mtu anapofanya biashara ya umalaya hana tofauti na mtu anayouza nafsi yake.
Mkuu Pattaya ipo wapi? nchi za Asia?Pattaya kila kitu kimesimama, wale madada wengi wamerudi makwao, hali ni mbaya.
Ooh my gosh, hii interraction ipo controversial sana[emoji849][emoji849]Ila hata wanaume wanaobadili wanawake kila kukicha nao wako mule mule. Tofauti ni kwamba tu hawasimami barabarani, likewise kwa wanawake wanaobadili wanaume kila kukicha nao ni machangudoa.
Kweli wapo na mapunga wanapenda ule mchezo wa sodoma na gomora nao ni walewale kweli.Ila hata wanaume wanaobadili wanawake kila kukicha nao wako mule mule. Tofauti ni kwamba tu hawasimami barabarani, likewise kwa wanawake wanaobadili wanaume kila kukicha nao ni machangudoa.
Ipo katika Bara la Asia katika Nchi ya Utahi au ThailandMkuu Pattaya ipo wapi? nchi za Asia?
Thailand.Mkuu pattaya ipo wapi? nchi za Asia?
OkIpo katika Bara la Asia katika Nchi ya Utahi au Thailand
Hiyo Pattaya ni sehemu inayojulikana Duniani, biashara ni masaa 24 kila siku na kila mahali hata sasa hivi ukienda unapata, Dunia hii acha tu.Thailand.
Sasa hivi hakuna,Pattaya imefungwa, Pub zote zimefungwa, yale madisco hakuna. Nina uhakika na ninachokisema Mkuu.Hiyo Pattaya ni sehemu inayojulikana Duniani, biashara ni masaa 24 kila siku na kila mahali hata sasa hivi ukienda unapata, Dunia hii acha tu