Na Korona hii bado Machangudoa hamuogopi?

Na Korona hii bado Machangudoa hamuogopi?

Biashara ya uraibu ni hatari sana...
Mtu akishaathiriwa na kupendapenda hayo masuala bila kuamsha akili yake kwa nguvu kubwa huwa kama mwehu.

Kuna watu bila kufanya au kufanywa hawalali.
Waeleze....yaani ukishakuwa addicted na papuchi basi wee mpaka upate ile raha ndio mambo yapo safi.
 
Msangamano upo kwenye

Vyombo vya usafiri.
Nyumba za ibada
Masokoni.
Migahawa.
Mashuleni na vyuoni.

Sasa hii ya umalaya pekee ndio unawasemea.
 
Pamoja na wimbi la changamoto ya upumuaji bado wafanyabiashara pendwa wapo bize Kama vile hakuna kinachoendelea? Wateja nao Kama vile hakuna mbadala ndugu zangu. Utabanwa mbavu ufe mapema.
Hiyo biashara ni kiboko,hata vitani ipo,Sasa ndiyo itakosekana kwenye Kavita kadogo ka Corona!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hahahahahaha niliona moja mtandaoni wanapeana utamu huku wote wamevaa barakoa. Basi ME akaanza kukohoa 😂😂😂😂😂kikohozi kirefu kidogo yule KE akaanza kuguna mhhhhhh! 🤣🤣🤣🤣🤣

Pamoja na wimbi la changamoto ya upumuaji bado wafanyabiashara pendwa wapo bize Kama vile hakuna kinachoendelea? Wateja nao Kama vile hakuna mbadala ndugu zangu. Utabanwa mbavu ufe mapema.
 
Back
Top Bottom