Na kule Madagascar, dawa hii anagawa Rais mwenyewe

Wanadamu hawanaga jema.

MUNGU aliwaletea manabaii wakawapiga mawe na kuwauwa

MUNGU akamleta hadi mwanaye kimpenzi , but haikusaidia wakamtundika msalabani

Asa hv najua kwa nn MUNGU aliumba jehanamu na kwa nini hamlazimishi mtu kumsikiliza
 
Dah [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Ila hii nchi ilipitia mengi walahi ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Msukule toka jalalani inatakiwa afunguliwe mashitaka ya ulaghai na uhujumu uchumi ,Kabudi profesa majalala ni tapeli na mnafiki mmoja hatari Sana ,hili genge la hawa pimbi Kabudi , Mwigulu ,Bashiru ,Polepole na ni hatari Sana
 
Huyu pamoja na babu wa loliondo wanapaswa kufunguliwa kesi nzito warudishe mamilioni waliyopewa pamoja na kulipa fidia ya gharama walizowasababisha watu. Vinginevyo watajitokeza wengine na utapeli kama huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…