Na mie nahitaji kuolewa!!!

Alie kwambia mchumba unamtafuta wewe nani kaa jitunze atakuja kwa wakati muafaka. Mchumba anatafutwa huku ndo maana unapata wapigaki halafu unakuja kulia lia huku jf
 
amu...mwingine huyu hapa...
 
Last edited by a moderator:
Alie kwambia mchumba unamtafuta wewe nani kaa jitunze atakuja kwa wakati muafaka. Mchumba anatafutwa huku ndo maana unapata wapigaki halafu unakuja kulia lia huku jf

siku nyingine usiwe unakurupuka
 
Olewa tu kama ukikosa mume huko Tanzania njoo huku Mozambique lazima utaolewa
Salve africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…