Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahsanteni kwa offer yenu Ila mi nna wivu balaa ntawaletea fujo.
Ngoja nimsikilizie Tuko na Jerrymsigwa cc DEMBA
mhhh!!!
ahsanteni kwa offer yenu Ila mi nna wivu balaa ntawaletea fujo.
Ngoja nimsikilizie Tuko na Jerrymsigwa cc DEMBA
amu wala usigune, am more than serious. Afu namba yako ya kilongalonga mbona nikiipiga haipatikani?
Mume wa kwanza wa kwanza tu....hilo liheshimiwe
Ndo maana, sasa hua unakula viporo? Utapata kitambi mbonyeo usile viporo plz!
amu umeshapata mume..? 😛eep:
yeah nitakuheshimu kwakuwa u-wakwanza ila nitamheshim zaidi aliyeniweka ndani nakunipa mema ya nchi maana we ulishindwa
Mie sikushindwaaaa....mbona kama unasahau asee
Shhhh Lady doctor.. unataka mpaka Paloma asikie..?
nlikuwa naumwa serious sana toka ijumaa simu nimeisahau sikumbuki wapi ila ilikuwa inaita leo haipatikani ina maana ipo salama imekata chaji tu.
He he ndo raha ya torch presha si sana ungekuwa mgalaxy nimeshadata mie.
ndo shida ya kulala mzungu wa 4 na mkeo, ona sasa yanayo kusibu