Na mie nahitaji kuolewa!!!

amu wala usigune, am more than serious. Afu namba yako ya kilongalonga mbona nikiipiga haipatikani?

nlikuwa naumwa serious sana toka ijumaa simu nimeisahau sikumbuki wapi ila ilikuwa inaita leo haipatikani ina maana ipo salama imekata chaji tu.
He he ndo raha ya torch presha si sana ungekuwa mgalaxy nimeshadata mie.
 
Last edited by a moderator:
haya bana kila heri katika ku shortlist hao watatu halafu uwape interview wakikolifai uwachukue hata wote ikibidi......

DEMBA huyo wa tatu hapa yukwapi?
 
Last edited by a moderator:
amu umeshapata mume..? 😛eep:
 
Last edited by a moderator:
Kuolewa umeolewa saana na wakati mwingine umeishi nao ila hujafunga ndoa. Unahitaji kuolewa au kufunga ndoa?
 
nlikuwa naumwa serious sana toka ijumaa simu nimeisahau sikumbuki wapi ila ilikuwa inaita leo haipatikani ina maana ipo salama imekata chaji tu.
He he ndo raha ya torch presha si sana ungekuwa mgalaxy nimeshadata mie.

Basi takununulia mgalaxy ndio haukati charge mara kwa mara ili muda wowote nikiwa nakukolu niwe nakupata.

Btw pole kwa kuumwa ingawa ulifanya siri sana meshindwa kukuletea japo machungwa.
 
ndo shida ya kulala mzungu wa 4 na mkeo, ona sasa yanayo kusibu

Na tumbo lile unategemea tutalala kifalme kweli..? Daktari amesema tuongeze njia ndugu yako hataki.. eti tutawachafua watoto tumboni lol..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…