Na mie nahitaji kuolewa!!!

hahahaa.... Chezea zumbukuku wewe.... ulimwengu uko huku LOL! Wafundishe hukohuko cc ni nini amu

ahaaa yani nlishangaa kweli duuu huo mda wa kuwafundisha mibaba sijui vijana sina kwa kweli yaaani
 
Last edited by a moderator:
amu mimi sijawahi pigwa kibuti ila kwa hali uliyopo sasa wewe kuchukuliwa na kuwekwa ndani bado bado bado

he he watu kama nyie hamkosekani ndo maana ulipigwa kibuti na nanahii
 
aaaaa we subiri hapo hapo upo kama mkaanga sumu
 
Last edited by a moderator:
Alafu Amu unajua mda mrefu tu nimekuwa nakufuatilia... sema nilijua una mtu. ..
Inabidi sasa tubonge vizuri

aiseeee am single and ready to mingle
 
amu mimi sijawahi pigwa kibuti ila kwa hali uliyopo sasa wewe kuchukuliwa na kuwekwa ndani bado bado bado

he he watu kama nyie hamkosekani ndo maana ulipigwa kibuti na nanahii
 
Last edited by a moderator:
amu mimi sijawahi pigwa kibuti ila kwa hali uliyopo sasa wewe kuchukuliwa na kuwekwa ndani bado bado bado

he he watu kama nyie hamkosekani ndo maana ulipigwa kibuti na nanahii
 
Last edited by a moderator:
haaa haaa haaa shost na wewe umezidi kudengua, watu wanakufukuzia weeeee hadi wanachoka. punguza mapozii. sasa nakusihi best olewa hata mitala
 
Maana unatafuta mwanamme jf?? Unajuaje uaminifu wake ? Utamchunguzaje? Unavigezo gani vinavyo kuongoza kumpata alie bora? Na je wewe unavifikia hivyo vigezo? Haya nakutia moyo endelea but its not safe at all if unamaanisha kweli unataka kuolewa.
 
Sasa we wataka raha tu shida huzitaki hata ungedanganya basi kavu kavu namna hii ona sasa keshakuweka pending

shansarie..
Mnapenda kudanganywa sio.

amu
Nitakuwa na wewe kwenye shida na raha.. Matatizo yote utaniachia mimi...

Raha ni zetu sote.. Come close mrembo.
 
Last edited by a moderator:
amu....waombe hao mashosti wako uliosimamia harusi zao mshee waume...mke wangu akikubali ni pm tasavali...
 
Last edited by a moderator:
Maana unatafuta mwanamme jf?? Unajuaje uaminifu wake ? Utamchunguzaje? Unavigezo gani vinavyo kuongoza kumpata alie bora? Na je wewe unavifikia hivyo vigezo? Haya nakutia moyo endelea but its not safe at all if unamaanisha kweli unataka kuolewa.

Wageni ni wengi hapa CC...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…