shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,367
Dah... hapa pugumu. Kama kusubiria matokeo ya form 4...
Afadhali ya form four utarisiti hapa ni chuo kaka unatamani kuanza kazi na umefeli cheti hakifai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah... hapa pugumu. Kama kusubiria matokeo ya form 4...
Afadhali ya form four utarisiti hapa ni chuo kaka unatamani kuanza kazi na umefeli cheti hakifai
Nawewe pia ni mgeni kama lutemi ?
Nikifeli hapa narisiti kwa mwingine...
amu....waombe hao mashosti wako uliosimamia harusi zao mshee waume...mke wangu akikubali ni pm tasavali...
Hahaha si ukae kimya ona sasa unaharibu mambo watu hawatongozi hivo hapo unamwambia kwamba una spear
Kuna wageni wengi humu kumbe!
amu,niruhusu nikuchagulie mume
amu,niruhusu nikuchagulie mume
ohoo kumbe ulishaharibu ngoja npitie comment zako :sad:
jamani kama huijui cc usishadadie maana nimeshaanza kupokea pm.
Plz guys this is cc.
Uuuuwiiii sasa ngoja niturnoff pm looo maana nina :faint: :faint:
watu hawajui cc daaaa am down to es :faint:
amu mi mhusika namba 1 sijaja pm..kumbe kuna wadokozi wanakuja kimya kimya? Aya ya ya yaaaaha ha ha ha! nimecheka sana hapa
nimeshaedit shost c una ucku mausingizi looo hope umeona love u
Halafu hivi sijaoa ee!!!!!!
Ngoja nikumbuke vizuri!!!!