Na mie nahitaji kuolewa!!!

Na mie nahitaji kuolewa!!!

Usione vyaelea ujue vimeundwa.navyo kuona wewe bado sana sana sana.
 
amu njoo kwangu... Nikuite mpenzi nawe uniite mpenzi.... Tupendane tu kwenye raha, kwenye shida kila mtu ashike lake.

hapana bana we umezeeka afu uccm ndani hatuto endana namtaka mwana mapinduzi tuandamane kila siku tulete updates humu
 
Last edited by a moderator:
Afwadhali presha imeshuka asante naona mwingine keshajitokeza Mzee

Mzee ye anataka kwenye raha tu kwenye shida tusijuane sa inabidi nitafute na kwenye shida pia ili nikimbilie
 
Last edited by a moderator:
hapana bana we umezeeka afu uccm ndani hatuto endana namtaka mwana mapinduzi tuandamane kila siku tulete updates humu

amu
Hebu nionyeshe uhusiano kati ya mapenzi na siasa????
 
Last edited by a moderator:
Mzee ye anataka kwenye raha tu kwenye shida tusijuane sa inabidi nitafute na kwenye shida pia ili nikimbilie

amu acha uoga...

Usipende kusaidiwa hovyo hovyo, lazima uwezw kujisaidia mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom