Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:
Ni sawa kutafuta mme ukaolewa lakini kwa nini unataka atoke humu jamvini tu? Ila kama uko serious inabidi uache u baunsa maana unasema ulishakuwa baunsa kwenye milango wakati wa harusi za wana jf tunaogopa kupigwa ukisha vuta baunsa nyumbani.
eti alisema niongee na wewe!
amu naona Jerrymsigwa anataka kuleta mahari hebu sema tuanze vikao na kitchen party mashosti tupo, Mamndenyi, mabinti zangu wote, ladyfurahia, lara 1, Paloma, Arabela, black woman
mme wako si Arushaone ?nasikia mbahili sana
hello Beautiful.....
Ha ha ha ha amu lol.. Ina maana Lady doctor ana mahaba ya dhati kwa Arushaone..? Kwamba no hongo tied to it..?
hello naughty handsome boy.............
khaaa cc Lady doctor Vin Diesel shansarie Preety mkiva Paloma hayo ndo yaliyomchefua rais wa cc Arushaone leo
DEMBA mie chichemi tena !!
Ha ha ha ha amu lol.. Ina maana Lady doctor ana mahaba ya dhati kwa Arushaone..? Kwamba no hongo tied to it..?
Hivi Vin Diesel nina kwako vile? Maana naona sijui ni nini nashindwa kuelewa Lady doctor
alikuwaga hazibandi wangu kabla ya Arushaone