Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,331
- 4,955
Mweeeh nilisahau waifu na wewe ni xx wa huyu jamaa lol..
Asikupe presha!
Ila twawezamuumbua zaidi kwa kupiglia msumari kwa alichosema ledi dokta!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mweeeh nilisahau waifu na wewe ni xx wa huyu jamaa lol..
yaani acha tu na mpenda kwelikweliHahaha...hiri ri jamaa raonekana rakupenda kikweri kweri...usiriache rikimbie
asante mkuu yaani sioni umeme ume katikaMkuu kiswahili chako kigumu sana...unaposema uwe lewe ni sawa na uelewe?
aaah mi nasubiri tu sita chokaRugha yako ngumu kweri bana.
Eenh endelea kusubili!
hivi Lady doctor unajua Arushaone alipo?
nimechafuliwa hapa jamani......khaaaa
Yaani hii ni kashfa kubwa... Halafu habari kaitoa Lady doctor ambae ni xxx wako lol..
ni mependa mbinuko wako lol
kuna haja ya kuita ma ex wangu wote waje hapa.......
Mmhhhh........ngoja waje lakini sikushauri hivyo!
noo my XYZ nimekurekebisha kidoogo ili ujue kosa lako
waje wadhibitishe kwa nini walikuwacha?
sasa weekend hii inakuwaje
Sijawahi kuachwa mie....
weekend hii kuna mahali nataka unipeleke aisee lakini nje kidogo ya nchi hii
Popote utakapo tutakwenda mama.....
Tulitengana tu.....