Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we mwache tutamsuta kwa mkodombwe.
we mwache tutamsuta kwa mkodombwe.
nakupendeaga hapo tu my x
tulitenganishwa!!!!
Umeshapata mume..? Achana na Lady doctor.. Mwanaume hasutwi hata siku moja..
My super XYZ.....
Na fitna za walimwengu.....
Paloma hebu ukuje hapa umuambie huyu unapambanaga na nini kunako 6x6.. Au muulize Passion Lady..
​hahahahaaaaaaaaa!!mbavu zangu mie!!mie Paloma aliniambiaga anapambanaga na kunguni na Passion Lady ye hupambana na mende chini ya uvungu wa kitanda chake chake cha sita kwa sita...... Kwani we huwasaidiagi kwenye mapambano???
naona dalili za wacha picha iendelee
Opoa binti huyo wengi wanameza mate chamgamka jerry
Mi nshakutamani wewe aisee.
This is definately "Love at first sight". Haya nambie bibie tunaendeleaje tokea hapa tulipoanzia?
amu mume mtarajiwa ni nani kati ya wote walogombea