Na mim natafuta mukazi wange SERIOUS….

Na mim natafuta mukazi wange SERIOUS….

haha hapo ustie shaka mi mbio zangu kama Husain Bolt, so nikimkamata namtafuna free of charge sio binamu ....
atakavyokupiga chenga haya wee, kabla ya yote si kunamaelewano binamu, ngoja tusubiri hiyo siku.
 
i am good!zawadi zako nimemuachia pretta.(nipo next door to your office just in case you wanna know what is happening😀😀)
Thanks Binamu, u cant be serious hebu jitokeze nikuone.
 
naogopa!nimejitundikia madripu ya valuu usiku kucha....!valuu sio nzuri bana,lol!nimeshauriwa nisionane na lediiz😀😀😀
 
Je ukishindwa kumkamata???

Sijawahi kushindwa kumkamata kuku wa kienyeji binamu.....manake hao nawajua sana tu....tofauti na hawa wa kileo wa madawa huwaga sina interest kabisa...raha ya kuku umkimbize hadi umkamate sasa mi ntashindwaje sasa...
 
naogopa!nimejitundikia madripu ya valuu usiku kucha....!valuu sio nzuri bana,lol!nimeshauriwa nisionane na lediiz😀😀😀
Haya binamu, u say it I follow, hata kipindi cha kwarezma unapeleka kama kawa too bad.
 
Sijawahi kushindwa kumkamata kuku wa kienyeji binamu.....manake hao nawajua sana tu....tofauti na hawa wa kileo wa madawa huwaga sina interest kabisa...raha ya kuku umkimbize hadi umkamate sasa mi ntashindwaje sasa...
Haya binamu umeshinda u will have the kuku (him/her) for free. kaazi kweli kweli.
 
eeh G ebu msalimie mwenzako,jana culisema unywi sana?ulidhani chai eeh?nilikwambia mm baridi isikudanganye!

Back
Top Bottom