MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Najua GENTAMYCINE ni Mwamba ila popote alipo ajue kuwa nami MINOCYCLINE sasa nimekuja rasmi Kuupindua Ufalme wake hapa Jamiiforums kwa kuja na Taarifa za Ndani, Uchambuzi na Kulichangamsha Jukwaa na naamini mpaka atoke BAN yake atakuta Mimi sasa ndiyo Natamba hapa na hata Tuzo ya mwaka huu MINOCYCLINE nitaibeba.