Guru Guja
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 217
- 285
Hoyaaa masera....mimi sio mgeni sana humu ndani.Ila nimemuona jamaa yangu amepata mtoto mzuri toka jamiiforum.Nikashangaa kumbe yale mambo watu wanasemaga ni kweli kuwa kuna mademu mazuri humu.
Naomba sana sana nami nipate mke toka humu ndani.Mimi ni msomi mzuri tu wa elimu ya juu kabisa.pia ni mfanya biashara wa maduka kariakoo.Ila sina mke.
Nataka nipate mke msomi mzuri kama mimi.awe angalau amemaliza cheti, digrii au diploma ya kitu fulani au hata Phd si mbaya.
Tufanye maisha pamoja maana sametime nakosa mtu wa kunishauri vizuri. Jamaa yangu wa duka la pembeni ameniambia kuwa amepata demu humu ndani na anataka kumuoa. Mimi pia nataka hivuo hivyo
Awe demu siriasi jamani.Nashukuruni sana...na mnipokee kijana mwenzenu nisijisikie peke yangu humu ndani.
Napenda kujirusha hasa hasa weakend na siku za mapumziko.mambool yasiwe mengi tuko pamoja masela ngoja mi nisepe kwenye huu uzi . Ila siendi mbali nipo araoundi nasubilia michango yenu.
Thank you soo much.