Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi simugeni.ni menyeji sana tu ndugu yangu. Kama nakukosea nisamee tu ila si mutu ya ugovi ata kidogo.
Hapana Nina kijikoUnauma?pole sister. Mugu akuponee
Nashukulu sana.aina noma.nashukulu kinoma.mimisijaja kwa ugovi.sante.
Hamnaga Masera ni MaselaHoyaaa masera....mimi sio mgeni sana humu ndani.Ila nimemuona jamaa yangu amepata mtoto mzuri toka jamiiforum.Nikashangaa kumbe yale mambo watu wanasemaga ni kweli kuwa kuna mademu mazuri humu.
Naomba sana sana nami nipate mke toka humu ndani.Mimi ni msomi mzuri tu wa elimu ya juu kabisa.pia ni mfanya biashara wa maduka kariakoo.Ila sina mke.
Nataka nipate mke msomi mzuri kama mimi.awe angalau amemaliza cheti, digrii au diploma ya kitu fulani au hata Phd si mbaya.
Tufanye maisha pamoja maana sametime nakosa mtu wa kunishauri vizuri. Jamaa yangu wa duka la pembeni ameniambia kuwa amepata demu humu ndani na anataka kumuoa. Mimi pia nataka hivuo hivyo
Awe demu siriasi jamani.Nashukuruni sana...na mnipokee kijana mwenzenu nisijisikie peke yangu humu ndani.
Napenda kujirusha hasa hasa weakend na siku za mapumziko.mambool yasiwe mengi tuko pamoja masela ngoja mi nisepe kwenye huu uzi . Ila siendi mbali nipo araoundi nasubilia michango yenu.
Thank you soo much.
Kwa huu mwandiko sidhani kama utapata demu jf.Hoyaaa masera....mimi sio mgeni sana humu ndani.Ila nimemuona jamaa yangu amepata mtoto mzuri toka jamiiforum.Nikashangaa kumbe yale mambo watu wanasemaga ni kweli kuwa kuna mademu mazuri humu.
Naomba sana sana nami nipate mke toka humu ndani.Mimi ni msomi mzuri tu wa elimu ya juu kabisa.pia ni mfanya biashara wa maduka kariakoo.Ila sina mke.
Nataka nipate mke msomi mzuri kama mimi.awe angalau amemaliza cheti, digrii au diploma ya kitu fulani au hata Phd si mbaya.
Tufanye maisha pamoja maana sametime nakosa mtu wa kunishauri vizuri. Jamaa yangu wa duka la pembeni ameniambia kuwa amepata demu humu ndani na anataka kumuoa. Mimi pia nataka hivuo hivyo
Awe demu siriasi jamani.Nashukuruni sana...na mnipokee kijana mwenzenu nisijisikie peke yangu humu ndani.
Napenda kujirusha hasa hasa weakend na siku za mapumziko.mambool yasiwe mengi tuko pamoja masela ngoja mi nisepe kwenye huu uzi . Ila siendi mbali nipo araoundi nasubilia michango yenu.
Thank you soo much.
We utakuwa viatu vya samaki, sijui hivi karibuni ulikuwa unatumia jina gan, nimesahau.Si mugeni nina muda murefu humu dani lakini reo nimamua kuungana.sio mugeni sana.sina mafua.nipo boa kabisaaa.siumii chochote
lara 1 sijui kama yupo tena..inshallah kama yupo hai Alhamdulillah ila kama amesha pass away basi apate pumziko la heri..kuna watu uwepo wao humu ulikuwa unatuchonganisha na kila kitu..kwa kua maneno yanaishi wakaija na kusoma wajue somewhere,someone,somehow wanakuwa missed alot!😂😂😂 mkongwe ni kuanzia muda gani kuwa humu jamani?? Nipo bana majukum yanabana tu muda mwengine naishia kusoma kimya kimya
atakua mzima kwa uwezo wa Allah bana angekua amefariki taarifa tungeziona sababu nina iman kuna watu watakua wanafahamiana naye nje ya jf, ni kweli mkuu kumekuchalara 1 sijui kama yupo tena..inshallah kama yupo hai Alhamdulillah ila kama amesha pass away basi apate pumziko la heri..kuna watu uwepo wao humu ulikuwa unatuchonganisha na kila kitu..kwa kua maneno yanaishi wakaija na kusoma wajue somewhere,someone,somehow wanakuwa missed alot!