Na mimi nimpate mtoto mzuri humu kama wenzangu

Na mimi nimpate mtoto mzuri humu kama wenzangu

Nashukulu sana.aina noma.nashukulu kinoma.mimisijaja kwa ugovi.sante.

Pigia mstari sehemu uliyoona tusi! Acha kuandika kimchele mchele jifunze kwanza kuandika kiswahili kisha ucheze kombolela na mabinti wa rika lako la kivulana ndipo upevuke tukutafutie demu...umebalehe lini kwani?
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nini kujitia uchizi sio wako jamani
Acha uboya chalii huwa wanaume hatutongozi hivi...na ukija kichwa kichwa unaweza kuta unampanga mama yako mzazi bila kujua..tulia ukue,ukatike utepe!
 
Post yake nyingine hiyo, kaandika kawaida.

hujasoma balibali hiyo... wageni wengi hata wakifake utized kuna maneno huwa yanawapita kushoto mfano hilo huwashinda sana wakenya
 
hujasoma balibali hiyo... wageni wengi hata wakifake utized kuna maneno huwa yanawapita kushoto mfano hilo huwashinda sana wakenya
Kumbe hili isembo linatupima imani eeeh...na masikini utakuta baba yake kauza ng'ombe kupeleka hii ng'ombe nyingine shule
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sio poa aisee.
Jamaa nahisi si mtizedi ila ni wa nchi jirani maana nimetest lafudhi zote lakini naona hazikai
[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Mimi simugeni.ni menyeji sana tu ndugu yangu. Kama nakukosea nisamee tu ila si mutu ya ugovi ata kidogo.

hujasoma balibali hiyo... wageni wengi hata wakifake utized kuna maneno huwa yanawapita kushoto mfano hilo huwashinda sana wakenya
 
Mugu akubaliki sana.duniyani tunapita tu.hakuna mutu atabakiya.asante sana ndugu yangu.ubalikiwe sana na matusi yako
Kumbe hili isembo linatupima imani eeeh...na masikini utakuta baba yake kauza ng'ombe kupeleka hii ng'ombe nyingine shule
 
Mugu akubaliki sana.duniyani tunapita tu.hakuna mutu atabakiya.asante sana ndugu yangu.ubalikiwe sana na matusi yako
Rudi juu ukajibu kashfa kwanini bandiko lingine umeandika kiufasaha ila hapa unaandika kimchelemchele ama uko sokoni?
 
Ofisi yangu ipo sokoni kariakoo zipo bili.sioni shida apo.na siuzi mchele nauza spares za magari karibun sana.

Rudi juu ukajibu kashfa kwanini bandiko lingine umeandika kiufasaha ila hapa unaandika kimchelemchele ama uko sokoni?
 
😂😂😂 mkongwe ni kuanzia muda gani kuwa humu jamani?? Nipo bana majukum yanabana tu muda mwengine naishia kusoma kimya kimya@Horseshoe Arch,
 
Back
Top Bottom