lara 1 sijui kama yupo tena..inshallah kama yupo hai Alhamdulillah ila kama amesha pass away basi apate pumziko la heri..kuna watu uwepo wao humu ulikuwa unatuchonganisha na kila kitu..kwa kua maneno yanaishi wakaija na kusoma wajue somewhere,someone,somehow wanakuwa missed alot!
huu ndio uandishi wako au upo kwenye utani?
kivyovyote mkuu umezingua sana
Hoyaaa masera....mimi sio mgeni sana humu ndani.Ila nimemuona jamaa yangu amepata mtoto mzuri toka jamiiforum.Nikashangaa kumbe yale mambo watu wanasemaga ni kweli kuwa kuna mademu mazuri humu.
Naomba sana sana nami nipate mke toka humu ndani.Mimi ni msomi mzuri tu wa elimu ya juu kabisa.pia ni mfanya biashara wa maduka kariakoo.Ila sina mke.
Nataka nipate mke msomi mzuri kama mimi.awe angalau amemaliza cheti, digrii au diploma ya kitu fulani au hata Phd si mbaya.
Tufanye maisha pamoja maana sametime nakosa mtu wa kunishauri vizuri. Jamaa yangu wa duka la pembeni ameniambia kuwa amepata demu humu ndani na anataka kumuoa. Mimi pia nataka hivuo hivyo
Awe demu siriasi jamani.Nashukuruni sana...na mnipokee kijana mwenzenu nisijisikie peke yangu humu ndani.
Napenda kujirusha hasa hasa weakend na siku za mapumziko.mambool yasiwe mengi tuko pamoja masela ngoja mi nisepe kwenye huu uzi . Ila siendi mbali nipo araoundi nasubilia michango yenu.
Thank you soo much.
Ma Mshuza....Karbu kwangu jamani mremboMmmh... Wewe hata nikipewa na bil 1 sikutaki. Wa nini?
SantinoWe utakuwa viatu vya samaki, sijui hivi karibuni ulikuwa unatumia jina gan, nimesahau.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hata akinichagua mimi naahidi kumkataa
Hiyo ni baada ya kuona masera na sametime(sometime)
Hahahaha[emoji23] amini kwamba sisi wanaume tunajiaibisha sanaMadem mna kazi,kama huyu nae anataka demu,kazi ipo!
Yani ana I'd mpya afu anataka demu na watu Wana miaka 10 humu hawana[emoji1787]Kikwetu guruguja ni sawa na jitu la kutisha tisha watoto kwa mafua hayo umeze cetrizine halaf unaonekana kama member mkongwe kwenye kivuli cha id mpya
Yani ana I'd mpya afu anataka demu na watu Wana miaka 10 humu hawana[emoji1787]