St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149

Mi nimepata visa ya huko juzi tu kwahiyo soon natia timu!!

Sifa nyingine...?!

Na zako je...?!
Asante afisa mtendaji....Hiyo visa uliyonayo ni ya kichina! Wata ku blackmail ndugu nakusihi usisafi kwa kutumia hiyo!!
Sifa kuu ya huyo binti awe anaishi Amsterdam ila asiwe mvuta bangi,sijali dini wala kabila.
sigara poa au.....?
Mi nimepata visa ya huko juzi tu kwahiyo soon natia timu!!
Sifa nyingine...?!
Na zako je...?!
Sifa nyingine na zangu tutawasiliana mama na nijue vizuri jinsi ya kukupokea..
Sasa siungeniambia ili nijue kama nna zote unazotaka na wewe una nnazotaka!?
Nina uhakika kabisa kuwa ninazo sifa zote unazotafuta nami ninaaamini kabisa kuwa una sifa zote ninazozitaka hivyo shaka ondoa tutamalizana chumbani(PM).
Mmmmh!!!Ngoja ukute nna macho matatu!!
Kila siku unatafuta!!

hehehe umeota unaolewa nini? naona leo unachangia jukwaa la love connect tu!
yale mahari nilioleta hayakutosha? au unatafta kanyumba ndogo ?

na mimi wajameni natafuta.

yale mahari nilioleta hayakutosha? au unatafta kanyumba ndogo ?

mahari ya lile ng'ombe shoga! Nimeshindwa, ananimalizia vipodozi vyangu.