Na mimi wajameni natafuta..

Na mimi wajameni natafuta..

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2010
Posts
7,956
Reaction score
5,149
Sifa kuu ya huyo binti awe anaishi Amsterdam ila asiwe mvuta bangi,sijali dini wala kabila.

Mi nimepata visa ya huko juzi tu kwahiyo soon natia timu!!

Sifa nyingine...?!
Na zako je...?!

Mi nimepata visa ya huko juzi tu kwahiyo soon natia timu!!

Sifa nyingine...?!

Na zako je...?!

Hiyo visa uliyonayo ni ya kichina! Wata ku blackmail ndugu nakusihi usisafi kwa kutumia hiyo!!

masharti na vigezo kuzingatiwa

Sasa siungeniambia ili nijue kama nna zote unazotaka na wewe una nnazotaka!?

Nina uhakika kabisa kuwa ninazo sifa zote unazotafuta nami ninaaamini kabisa kuwa una sifa zote ninazozitaka hivyo shaka ondoa tutamalizana chumbani(PM).

mahari ya lile ng'ombe shoga! Nimeshindwa, ananimalizia vipodozi vyangu.

heheeh dah nimecheka kwa laudi spika aisee! halaf mbona haujanialika futari bana? uchoyo haujengi ujue?

Back
Top Bottom