Na nyie wanaume/kaka zangu zingatieni mambo haya ya unadhifu

Na nyie wanaume/kaka zangu zingatieni mambo haya ya unadhifu

Dada mmoja anasema hakuna jambo linamuuma mwanamke kama kujua kwamba mwanamke mwenzie anaenda kutiwa na mwanaume yuleyule aliyewahi kumtongoza akamkataa kwa kuvunga eti amhangaishe hangaishe kidogo kwanza kabla ya kumkubalia
 
Eeh heading kwanza leo. Ili apate support ya wadada kuelimisha wakaka.
Siku nyingine ndiyo sisi ili apate support kwa wakaka.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] sasa ya leo amefanya Uzi upooze ka uji wa mgonjwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwakweli kutuchanganyia mambo hivi sio vizuri maana tunakosa uelekeo jamani. Asitufanyie hivyo, leo tudeal tu na heading kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna thread anasema ameolewa, kuna thread anasema ukitaka kumtongoza uwe unajua kiingereza, kuna thread anawaponda wanawake wa sasa.

She is very inconsistent. Angeamua kusimamia sehemu moja labda tungemwelewa.
Watu na fani zao baba
 
Back
Top Bottom