Dharra
JF-Expert Member
- Jun 23, 2017
- 1,661
- 2,963
Kitengo kitoke wapi mkuu, lazima uwe kutoka Kanda Maalum kula hivi vitengo.
Salama kabisa mkuu.
ahahaha usikate tamaa mkuu, huwezi jua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitengo kitoke wapi mkuu, lazima uwe kutoka Kanda Maalum kula hivi vitengo.
Salama kabisa mkuu.
ahahaha usikate tamaa mkuu, huwezi jua.
Kuna mambo hutufundishiki. Kuna watu hawajirekebishi bila kurekebishwa. Mbaya zaidi kuna mambo tunayaonea aibu kuyasemea hata kama yanaleta taabu. Mwanamme kunuka 'pumbu' kama unavyoliweka, hiyo ni 'extreme'. Kutokana na maumbile yalivyo, maana inamaanisha haogi kabisa. Akioga hakuna anayesahau kupitisha sabuni kwenye groin, labda awe ni kichaa. Sijui ilikuwaje ukasikia harufu kama hiyo, Labda alitoka kufanya sex za vichakani, bila kujisafisha. Hisia yangu, ulishamchukia tangu zamani na hapo ulikuwa unatafuta nyongeza ya hasira zako.Tumeenda kwenye msiba wa mwenzetu mmoja kafiwa na mumewe.actually haikuwa hasa imepangwa iwe leo.lakini baada ya kusikia maiti inasafirishwa leo jioni basi ikaonekana ofisi nayo ihusike kwa njia moja au nyingine kumfariji mwenzi wetu.
Nyie wakaka wengine mnaonekana mmependeza kwa nje na kujipuliza manukato n.k lakini wengine mnanuka mapumbu ile mbaya.
Yaani leo kidogo nitapike mkaka kabisa amekaa pembeni yangu harufu inatoka kwenye boxer wallah unaweza tapika.yeye hana shaka kabisa anapiga tu stories.na kibaya zaidi ni mume wa mtu.hii inakuaje kaka zanguni?
Matatizo makubwa ya wanaume wengi ni kunuka mapumbu,soksi chafu/zinanuka na mdomo.sielewi ni nini tatizo.ingawa wapo pia na wa vikwapa hawa angalau miaka hii wanapungua.
Mkaka huyu huyu siku moja eti naye ananijaribu "mamshuza shemeji anafaidi" nlimkata jicho hilo ...maana nliona hata uvivu kumjibu.baadaye alikuja kuniomba radhi. Mimi huwa sipendi utani wa kibazazi...tena staki kabisaaa....maana wanaume nmeshaona ofisini wanavyowatenda wanawake mdebwedo.hadi wanawashika makalio.
Siku nmekasirishwa na binti mmoja kakumbatiwa jikoni anacheka cheka tu na ni mke wa mtu...nlishangaa sana na kumwita kumsema kuwa ule uchafu wasifanye mbele yangu.khaaa...mwisho wajatiwa madole useme wanaume wabaya kumbe wawakaribisha mwenye na nyege mshindo zako.
Haya mazingira wakaka huanza kujenga mbali...unakuta tu mkaka heshi kukusifia sifia...hana lolote anataka kukuchanua tu na mabinti wa siku hizi wasivyo na staha...basi wanaume wanapokezana tu ofisini kama mpira kila awezaye ajilie.
Nikasema staki mazoea na mtu...na wanaume wenyewe ndo hawa wananuka pumbu, wakivua soksi zinanuka...kichefu chefu kabisa.ya nini yote hayo na bamshuza yupo for me.
Hebu safisheni vinywa vyenu
Safisheni mapumbu au boksa
Safisheni soksi kila mara
Kucha nazo ziwe safi na mikono
Muwe soap soap ila siyo nyoronyoro...eeeehh....maana sasa hapo si sababu ya wanaume kuanza kurendembuka na kulambalamba lips kama mbwa...eti swaga... Swaga zipo kitandani. Kuweni ngangari lakini wasafi na wenye mvuto.na sauti mkaze siyo mnaongea sauti kama mnatongozwa.
Hahaha anatuchanganya tu asitusumbue aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii inaitwa utajitafuta na kujijua mbele ya safari. Kama elimu yetu tu, unasoma vitu kibaaao mwisho wa siku unajitafuta.
kuna mimama haizeeki maini..unakuta maza miaka 54 tayari na manyonyo yapo kifuani ila mambo ya kutiana haachi,,ndo kama huyu mbibi aliyeleta uzi,,shitPoint yako ni nini?
Wanaume wanaonuka au wadada mdebwedo?
Unatuchanganya.
Sent using Jamii Forums mobile app
ma mshuza hujibugi comment,unatumaga tuu thread,njoo uku!
mdau kama mimi napenda uwe una comment swahiba,! Usiwe una rushia tuu haifai,avatar noma io😂😂😂😂 nakosa muda rafiki yangu....huo muda wa kusoma comments sina leo ndo nikasema nione comment ya mwisho naikuta yako... Wadau wanasemaje?mi nikishasema yangu sina neno na mtu tena.