Na nyie Wanaume mjitahidi muwe na uanaume ndani yenu. Unakuta Mwanaume Fala/Kapoa mpaka basi

KABISA!
YANI NILITAKA KUANDIKA KITU HIKI HIKI ULICHOANDIKA HAPA!
MI UNIPIGE KISHA UNIPANDE NAWEZA NIKUUUE UKIWA UNAKOJOA!
hakyamama, SIWEZI VUMILIA AINA YOYOTE YA UKATILI!
A MAN, MY MAN, IS A MAN WITHOUT VIOLENCE!
Haha tatizo watanzania wengi wanateseka
 

Inauma Sana
Mwanaume kudhani anaweza kumfurahisha Mwanamke. Mwanamke Humheshimu sana Mwanaume anayejipenda mwenyewe kwanza, anayejiweka yeye kwanza, atalalamika lakini ukweli anaujua.

Mwanamke ni kiumbe kibinafsi Sana na shida huja pale mwanaume anapouhamisha Upendo alionao kwa Mama yake kwenda kwa Mke au Mpenzi wake.

Wanaume eleweni kuwa β€œ With Women Love is Conditional”
Mwanaume Fanya Mambo yako kama ni kuwa na wake sita kuwa nao Kama una uwezo ila siyo unaogopa eti *Wife* atamaindi aghaaaa. Mwache aende.

Nakuambia hivi wanawake wanafanana hakuna eti β€œmy one and only β€œ . Huu ni ujinga sana na ni ugonjwa.

Wanaume tunaji..commit sana kwa wanawake and we rush to do so.

Remember that Only Foolish people Rush to Commit Themselves. Be careful Not to Commit to anyone, any cause Except Yourself.

kama ni kunyonya Ubo* wote wananyonya sasa unaanzaje kudata

Utaanzaje kumuweka mtu Mbele yako na wewe unajiweka nyuma sembuse Mwanamke.

Women are psychological and men are Too Physical. This is why they win. Because psychological warfare is the most dangerous and will always win and women fight in the psychological arena.

We people are Highly Gullible especially Men. Men are easy to Deceive because they are too physical especially when it comes to women and women Know this. Men be careful msije kusema hatujawaambia.

Usiogope. Women Will always love you if you put yourself first. They will never ever leave you. Atapapatuka tu. I’m talking with evidence and experience.

Man be a Man. Men are powerful, men are not weak. Men go to War. Men love themselves. Men put themselves first in everything. Men never put women ahead of themselves. Men put women behind. Women follow men because men are Leaders.
 
Haha tatizo watanzania wengi wanateseka
Mi katika vitu sikukuzwa navyo kabisa ni MATESO! UKATILI!
utotoni mwangu nimeishi na familia tatu tofauti plus ya babangu na mamangu!

KOTE HUKO NIMESHUHUDIA WAUME WALIO VERY LOVELY KWA WAKE ZAO!.

KOTE HUKO NIMESHUHUDIA WAVULANA NA WASICHANA TUKIWA TREATED VERY EQUAL

KOTE HUKO SIJAWAHI KUSHUHUDIA UKATILI /UNYANYASAJI WOTE WALA UONEVU KWA KUWA MTU NI MWANAMKE AU MWANAUME. SO UHUSIANO WOWOWTE BAINA YAO KWANGU HAUTAFSIRIKI KWA LUGHA HIYO.

KOTE HUKO NIMESHUHUDIA WANAUME WAKIJIVUNIA NA KUPRACTICE UANAUME WAO WAKIWA SOOO VERY CALM,VERY LOVING!
mi siwezi kustand kunyanyasika kwa jinsi yangu hata na aliye stranger!
sembuse leo hiii kuchaniwa chupi iwe turn on factor, uuuuwih!
 
ahahahahhahhahhah!
 
H
Huyu mwanamke si mwingine ni wewe mwenyewe bila ubishi
 
mpaka leo bado wataalamu wanatafiti, haijulikani mwanamke anataka nini hasa

thanks to god the almighty
 
Ndo tabia hizo hata JF unazikuta kuna wanaume so weak yaani hawa utawaona hata wanavyojipendekeza ukiwasema wanawake....sisi wanawake tunapakana sana shits halafu maisha yana endelea.unakuta mtu anakuja kutetea naye kama binti..... Katika maelezo yote niliyopitia hapa umenifanya siku yangu iende vizuri hongera.
 
Asant kw kunchekesha[emoji3][emoji3]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umebahatika kuishi tofauti na wanawake wengi hapa nchini.
Na siku zote mwanaume anaishi na mwanamke kwa jinsi mwanamke anavyojiweka kwa kuwa wewe unajitambua hakuna atakayewaza kukupiga hivyo ndivyo ilivyo
 
Jmn tusitake kuchuma dhambi za lazma.km mwenzio kazaa nje kuna haja gan ya we lipiza?? Mara mwanaume anapenda yeye ndo achepuke ila mkewe akichepuka atakiona cha mtema kuni, na anaweza kufukuzwa kabsaa na ndoa ikaishia hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada hongera una point za maana πŸ‘πŸ‘
 
Ukishafikia umri wa staha utajua mwanamke ni lango la baraka za mwanamme. Kila anayefanikiwa kufungulia hili basi lazima atakuwa tofauti na mwenzie kwa kuwa hatakubali kulifunga lango lake kwa tamaa za ulimwengu huu. Mada sio nzuri hasa imeanza na ushabiki wa michepuko(Vifungo vya milango) na pia unyanyasaji wa kibinadamu. Kama Mungu hakumuumbia Adam msaidizi wa kufanana naye na hata baada ya kuoana mnakuwa mwili mmoja(as per christian's believe) basi na iwe sawa kudhulumiana kwani tuu tofauti kama kati yetu na Mbwa.
 
Kwani ulilazimishwa kuolewa naye, maana ulijiridhisha ana vigezo vyako ndo ukakubari kuolewa au,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka twende jela wewe! Sisi wengine tukianza kipinga tunaweza kumchanganya hadi mama mkwe akiingilia ugomvi
Sent by Diaspora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…