Mkuu wanaume tumehama kambi siku hizi tunatetea wanawake.
Huwa nashangaa Sana mwanaume na pu.mbu mbili anashangaa mwanaume mwenzake kuwa na mke zaidi ya mmoja!!
Yaani kabisa unafanya interest za wanawake unajiona mwanaume!!
Ndoa kibao Sasa hivi Kuna watoto wasiokuwa wa baba husika aafu unaishia kufarijiwa kuwa kitanda hakizai haramu.
Na wewe unaambiwa kuwa na mke zaidi ya mmoja dhambi.!!
Na mke wako kashakuwa na mme mwingine ndani ya mahari uliyoitoa
Sent using
Jamii Forums mobile app
Inauma Sana
Mwanaume kudhani anaweza kumfurahisha Mwanamke. Mwanamke Humheshimu sana Mwanaume anayejipenda mwenyewe kwanza, anayejiweka yeye kwanza, atalalamika lakini ukweli anaujua.
Mwanamke ni kiumbe kibinafsi Sana na shida huja pale mwanaume anapouhamisha Upendo alionao kwa Mama yake kwenda kwa Mke au Mpenzi wake.
Wanaume eleweni kuwa “ With Women Love is Conditional”
Mwanaume Fanya Mambo yako kama ni kuwa na wake sita kuwa nao Kama una uwezo ila siyo unaogopa eti *Wife* atamaindi aghaaaa. Mwache aende.
Nakuambia hivi wanawake wanafanana hakuna eti “my one and only “ . Huu ni ujinga sana na ni ugonjwa.
Wanaume tunaji..commit sana kwa wanawake and we rush to do so.
Remember that Only Foolish people Rush to Commit Themselves. Be careful Not to Commit to anyone, any cause Except Yourself.
kama ni kunyonya Ubo* wote wananyonya sasa unaanzaje kudata
Utaanzaje kumuweka mtu Mbele yako na wewe unajiweka nyuma sembuse Mwanamke.
Women are psychological and men are Too Physical. This is why they win. Because psychological warfare is the most dangerous and will always win and women fight in the psychological arena.
We people are Highly Gullible especially Men. Men are easy to Deceive because they are too physical especially when it comes to women and women Know this. Men be careful msije kusema hatujawaambia.
Usiogope. Women Will always love you if you put yourself first. They will never ever leave you. Atapapatuka tu. I’m talking with evidence and experience.
Man be a Man. Men are powerful, men are not weak. Men go to War. Men love themselves. Men put themselves first in everything. Men never put women ahead of themselves. Men put women behind. Women follow men because men are Leaders.