SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
Sasa wewe mbona upo nyuma na wakati?, waulize au fuatilia mjadala wa Bunge. Magufuli amekua akiangaika sana kutafuta mikopo, kabla yake Tayari China Exim Bank walikubali kutoa $7.5, lakini Magufuli alipoingia madarakani alifuta kutokana na riba kubwa.
Alipokuja rais wa Uturiku, pia alimuomba mkopo, lakini yakawa ni yaleyale ya riba. Hadi sasa hakuna mkopo wowote tuliochukua, kama unabisha, onyesha ni lini tulitiliana saini wa kupewa huo mkopo, kwasababu lazima kuwe na utilianaji wa saini ambao unafanyika hadhari, hiyo pesa ni nyingi sana haiwezi kutolewa kimyakimya, kama mikopo ya $100M kuna kuwa na utiliaji saini mikataba hadharani, vipi pesa nyingi kiasi hiki iwe ni siri?,
Huu sio mkopo ?