'Na pesa yetu' ATCL already making massive losses... CAG report

CPI inaenda opposite where 0 is highly corrupt and 100 is Very clean kwahivyo umekosea hapo..........
Alafu unajua kwanini inaitwa Corruption Perception Index????? Ni kwasababu inategemea perception ya mtu yani ukiwa na media kama ya Kenya ambayo haina uoga na hawanyamazi wanapoona ufisadi, wanabiashara wanakua na perception kwamba ufisadi umekithiri, Lakini nchi kama Tz media imelala kwahivyo wanabiasharai wako na perception kwamba hakuna ufisadi lakini hio haimaanishi kwamba hakuna ufisadi wa hali ya juu unaofanyika china ya maji....


The index, which ranks 180 countries and territories by their perceived levels of public sector corruption according to experts and businesspeople, uses a scale of 0 to 100, where 0 is highly corrupt and 100 is very clean. https://www.transparency.org/cpi2018

Kwa CPI Kenya iko nyuma ikiw na 27%



Tanzania nayo iko na 36%


Hio ni tofauti ndogo na si kama vile unataka kutudanganya eti 15% Vs 85%
 
Wanabiashara kufungwa ni jambo la kawaida, Niliposema wakubwa nilikua namaanisha wakubwa Serekalini, yani akina CCM na vingozi wa serekali. Alafu hata hio taarifa ulioleta huyo mwanbiashara hajafungwa! Kesi ndo inaanza, for all we know anaweza achiliwa baada ya miezi kadhaa
 

Hahaha. Hio nchi yenu sijui inaendeshwa aje.
Sasa ndege kupakwa rangi lazima hata rais aingilie?

Hayo yote ni populist moves. Kuwafurahisha tu.
Ukweli ni kwamba hio Tsh300 million ndio bei sahihi ya kupaka ndege rangi.
Rangi ya ndege sio rangi ya kawaida.
5million labda kupaka rangi choo.
 
Hii ni kuonyesha kwamba hatuna mchezo na pesa ya serikali, sio huko kwenu watu wanabeba pesa kwenye magunia, na bado wanasiasa wanawatetea. Kwa Kenya kwasababu ufisadi upo kwenye damu yenu, kila kitu kwenu mtaona ni sawa tu ili mpate pesa.

Huku kwetu tunabana matumizi ili tupate pesa ya kununua dawa na vifaa vya Hospital, tujenge SGR kwa pesa yetu, na tujenge Rufiji hydroelectric dam. Ngoja tuone kama hiyo rangi ya 5M, ndege itashindwa kupaa angani, au watu wataikataa kusafiria.

Wale wapiga madili sasa hali mbaya...
Hizi ni zama za Magufuli sio Jakaya....

Hiyo nchi yenu ni nchi ya kitu kidogo, usijaribu kutuambukiza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania sio Kenya, wanasiasa huku kwetu sio wafanyabiashara, wala hawajihusishi na ujinga huo, wala sio matajiri kama kwenu.
This is a socialist country.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aha! Nimeipata official ripoti ya CAG , Kuanzia page 54

Air Tanzania Company Limited (ATCL)
Air Tanzania Company Limited (ATCL) has been operating at
loss for the past 10 years consecutively from financial year
2006/7 to 2016/17 which has eroded shareholders’ equity to
negative balance. In the recent three years I started to note
some improvement in its operations as net operating loss has
decreased from TZS 38.72 billion in 2015/2016 to TZS 16.21
billion in 2016/2017,
a decrease of TZS 22.51 billion equivalent
to 58%. The decrease in loss is mainly attributed to the
increase in total revenue from 2015/16 by 20% and decrease in
total cost by 27%.



Page 11

Deni ni tofauti na kupunguza loss, hapo unaona deni linazidi kuongezeka hadi 184B kutoka 166B! wakati loss ilipunguka kutoka 38B hadi 16B






 

Attachments

Tanzania ipo namba 99 na Kenya IPO 144 bado unasema tofauti ni kidogo?, Kenya njoni mjifunze mambo mengi hapa Tanzania, this country is a role model in this region.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania sio Kenya, wanasiasa huku kwetu sio wafanyabiashara, wala hawajihusishi na ujinga huo, wala sio matajiri kama kwenu.
This is a socialist country.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahivyo unachotaka kutuambia ni kwamba GoT na CCM nzimaa hua hakuna mtu anahusika na Ufisadi? right! keti hapo hapo na uendelee kuburudika
 
Tanzania ipo namba 99 na Kenya IPO 144 bado unasema tofauti ni kidogo?, Kenya njoni mjifunze mambo mengi hapa Tanzania, this country is a role model in this region.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii sasa ni akili ya kitoto, Unaangalia nambari/position badala ya kuangalia score!!!!!!!! nchi ni 188 duniani bana, utakuta kuna nchi hamsini ziko na hio 27%...
 
Obsession with Tz mpaka una download majedwali ya CAG wao😆😆
Haya mzee...Hiyo inaitwa book value loss..Ukitaka kuona profit angalia Ndege ngapi Tz wamenunua kutumia pesa zao😂😂
 
Obsession with Tz mpaka una download majedwali ya CAG wao😆😆
Haya mzee...Hiyo inaitwa book value loss..Ukitaka kuona profit angalia Ndege ngapi Tz wamenunua kutumia pesa zao😂😂
Haikunichukua hata dakika tatu, all I had to do is google "CAG Tanzania". Na nimeitafuta hio ripoti kwasababu unlike you guys, mimi hua si entertain kueneza uongo just to win some argument!
Wewe ulipotoshwa na kina anneal, joto la jiwe ...nk, siku hizi umekua troll hakuna substance yoyote kwa comments zako, unajaza ma emoji kujiliwaza maumivu kutokana na excessive povu!!!!!
 
Wewe una matatizo ya akili, huwezi kuelewa hisabu za kiuhasibu, ngoja tukufundishe " Just basic principles of book keeping"

Kuna kitu kinaitwa "BF", Balance carrying Forward, hii maana yake kila mwisho wa mwaka wa biashara yako, unafunga mahesabu na unatafuta tofauti kati ya mapato na matumizi, yakiwemo madeni uliyokopa, kama tofauti ni Plus( +), maana yake umepata faida, kama ni negative,(-), maana yake ni hasara.

Hii balance utaingia nayo katika mwaka ujao, endapo huo mwaka ujao revenue zitakuwa kubwa hadi kufidia hasara uliyoingia nayo mwaka huu wa biashara, hiyo itaonekana katika BF ya mwisho wa mwaka huu.

BF ina athiri saba " BD" Balance brought down, ambayo kwa kifupi ndio mtaji unaoanza nao kila mwaka wa biashara. Kama umeanza na madeni( Negative BD), inamaana mwaka unaofuata, faida itakayopata lazima ifidie kulipa hiyo hasara ya nyuma.

Kumbuka ATCL haijawahi kuwa muflisi, kwa hiyo vitabu vyake vya hesabu ni vile vile kuanzia tangu ilipoanzishwa, ni muendekezo wa shirika lilelile. Hii hali ndiyo inayotokea hata kwa KQ, ninakushangaa kushindwa kuelewa kitu kidogo kama hiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Braza ndege watu wanapanda wa kawaida kabisa,acha kujiliwaza na ujinga, na hakuna ujinga wa kupanda ndege kwa kuangalia wewe ni nani...unaishi Dunia gani wewe? Yaani laki 2 kwenda KIA au laki na 20 unaona nyingi sana haha

Sent using Jamii Forums mobile app
 

DEAD STATE. MAWE MUST GO
 
Hii sasa ni akili ya kitoto, Unaangalia nambari/position badala ya kuangalia score!!!!!!!! nchi ni 188 duniani bana, utakuta kuna nchi hamsini ziko na hio 27%...
Zote zinatumika kuonyesha nafasi ya nchi, acha kujiliwaza. Hii ripoti ilipotoka, nilisikia viongozi wenu huko Kenya wakitumia position katika kuonyesha tatizo la rushwa hapo Kenya. Position ni rahisi sana kuekeweka kuliko scores, katika malengo Kenya mliyojiwekea ni kwamba Kenya isivuke zaidi ya nafasi ya 100 duniani, kwa nini wasitumie score?. Hiyo ni dalili ya kujifanya wajuaji kama kawaida yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahivyo unachotaka kutuambia ni kwamba GoT na CCM nzimaa hua hakuna mtu anahusika na Ufisadi? right! keti hapo hapo na uendelee kuburudika
Kila nchi kuna element ya ufisadi, hata huko Newzealand, tofauti ni kwamba je hicho kiwengo kina athari kiasi gani kwa jamii? " Is it a public problem?". Tanzania rushwa haijajenfeka katika ngazi ya wanasiasa kama ilivyo huko Kenya, zaidi ipo katika ngazi za wakurugenzi ambao wapo ndani ya uwezo wa rais, na anawafyeka kweli kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…