joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Wewe ni mpumbavu sana, sasa maana ya kufanya biashara ninini?, kitu gani kitafanya kampuni liendelee kufanya biashara?, Benki gani ambayo ipo tayari kukopesha kampuni ambayo inapata biashara year in year out?, mbona hiyo KQ hakuna Bank iliyopo tayari kuikopesha pamoja na serikali kutoa guarantee.You are really dumb.
Unataka kumaanisha private companies zikipata hasara haziwezi endelea na operations?
Kazi ya benki ni nini?
They just pile up more debt.
Alafu, sababu kampuni imeitwa 'private', sio kumaanisha haiwezi uza shares ama kuleta investors wengine. Inamaanisha tu kwamba haiwezi uza shares kwa stock exchange.
Uber is a private company. Making billions in losses and still surviving.
SpaceX is a private company. Has been making losses for long and still attracts investors.
Facebook, Amazon and virtually all companies have been private at some point, making losses and still surviving.
Your dumb ass thinks loss = bankruptcy.
There is no airline in Tanzania that has ever made a profit.
Acha ujinga wewe, hakuna business yoyote ile inayopata hasara miaka mitano mfululizo na bado ikaendelea kufanya biashara bila support, onyesha wapi Precision Air imekopa pesa, mbona katika financial statement hatuoni madeni?
Sent using Jamii Forums mobile app